KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Ukiwa CCm akili Yako inafanyiwa transplant unawekewa uharo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kwa mikataba mingi tunayoingia bora ya mangungo kama ulivyosema hakuwa kasoma na wala hakuitwa kuwa ana PhD. Sijawahi pia kuelewa dereva wa serikali walau awe kamaliza form 4 ila mbunge mtunga sheria na mpitisha budget ya serikali ajue kusoma na kuandika. Hiki kigezo nadhani kilikuwa kwa ajili ya zama zile wasomi wachache. Sema hata muda mwingine wasomi wenyewe nao hawana ufahamu na wenye ufahamu wanajitoa ufahamu kulinda kula kwao.Halafu tunambeza chifu mangungo kwa akili hizi, bora yeye hakuwahi kwenda shule.
Mollel hana PhD bali ni daktari msaidizi AMO.Kweli nimeamin PhD ni kama ndom mbele ya CCM!!
Kwahiyo molel ana PHD ? Khaaaaaa halali chadema iendelee kuchechemea mana unatakiwa kumjua aduiHao wenye PhD mbona sasa wanajichanganya, Kitila kasema hakuna mkataba hapo kuna makubaliano ya ushirikiano baina ya serikali ya dubai na Tanzania. Halafu wengine kama Mollel wanasema kuwa hakuna mtanzania anayepinga mkataba wa bandari na Dp sasa ukweli ni upi au na hao wenye PhD hawaelewi wanachojadili?
Usimlaum mkuu!! CCM inataka uwe hivyo!!Sometimes unafeel like why US??Yaani unakuwa na waziri mwenye İQ ndogo kama Mollell then u wish nchi itasonga mbele kimaendeleo.....leo ilikuwa ni platform kubwa saaana kwa wabungu kulisemea TAİFA.....rather than MAJİMBO ya uchaguzi....ilikuwa ni time kujenga hoja zaidi na kuonesha why walichaguliwa kuwakilisha wananchi...unlike that wamebase kufanya personal attacks.....nchi bado ina safari ndefu saaana.😴
Hatari saaanaaaaUsimlaum mkuu!! CCM inataka uwe hivyo!!
Nadhani İQ zina depreciate kwa kasi saaanaNdiyo shida ya GPA za mchongo
Mimi sijasema ana PhD ila nimemjibu aliyesema ana PhD. Mimi mollel sina hakika na kisomo chake.Kwahiyo molel ana PHD ? Khaaaaaa halali chadema iendelee kuchechemea mana unatakiwa kumjua adui
Nyie ,mnang'ang'ana molel ana PHD kaitoa wapi?
Mifugo hatuna madaktari wanajipendekeza! Wala hatuna njaa za uteuzi! Huyo ni daktari wa majipu ya binadamu!Ni doctor wa verte
Ni doctor wa vertenary, amezoea mifugo Zaidi
🤣🤣😂😂🤣Mara nyingi anayeteuliwa huwa Ana sifa ninazofanana na anayemteua .