LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ccm inatia huruma sana.. Nilikuwa Manzese kuna mkutano wao kitila mkumbwa hali ni ngumu sana
 

Ukisha kunywa maji ya kijani tu na akili inalowana moja kwa moja.
Atwambue kodi yetu inafanya nini sasa au tuache kulipa kabisa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Upumbavu kaanza siku nyingi huyu bwege,alimuombea Magufuli apate corona.
 

Attachments

  • Tapatalk-Download-643653540Tapatalk-Download-4121273421631080852860.mp4
    388.1 KB
Huyo daktari wa meno afya ya akili yake Ina mushkeli! Kama ccm Ina pesa za kujenga miradi na kupeleka maendeleo atuambie hizo Kodi na tozo tunazotozwa zinatumika wapi? Isijekuwa zinaingia kwenye account za wasiojulikana!
Hivi kajiuliza madhara ya hiyo kauli yake? Hajui Kama amehamasisha wananchi wasilipe Kodi Tena kwani ccm Ina pesa za kutosha na kubaki!
Halafu ni naibu waziri anayehimiza wananchi wasilipe Kodi na bado ataachwa kwenye nafasi anayoitumikia! Huu ni uhaini kwa nchi zinazozingatia utawala wa Sheria but bongo mmmh!
 
Hiv huyu ni PHd au dokta wa mifugo?
Huyu ni Mtaalam wa Kinywa na Meno (Dentist). Alishahudumu kwenye Hsp mbalimbali lkn kwa mara ya mwisho kabla hajatimkia kwenye siasa alikuwa Seliani Hosp Ngaramtoni Arusha. Alikuwa na Daktari mzuri sana aliyeweza kuongoza Hosp hiyo iliyokuwa chini ya KKKT Dayosis Mkoani Arusha na kuifanya kuwa na ufanisi mkubwa sana. Hakuwa mwehu kama tunavyomuona kwa sasa.

Huu upuuzi wa uchawa ameanza rasmi alivyotoka Chadema na kwenda kuunga mkono juhudi wakati wa Jiwe. Hapo ndipo alipokabidhi ubongo wake rasmi kwa CCM. Ila 2025 baada ya kupigwa chini atalazimika kudai kurejeshewa ubongo wake.
 
.
 

Attachments

  • 20240824_025055.jpg
    34.7 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1604027510826.jpg
    34.8 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…