Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

sasa hivi anasemaje
 

Watu hawa akiwamo Jaffo, Gwajima, Majaliwa na wa namna hiyo si wangejiuzulu tu kumpa Mama nafasi ya kuanza upya?

"Waziri Mkuu si mpishi wa rais. Waziri Mkuu ni wetu sisi wananchi. Huyu ni lazima ang'oke. Kama atakataa kujiuzulu, Rais itabidi amng'oe. Kama na Rais naye atakataa kumwondoa, hili nitalipeleka kwa wananchi." -- Mwalimu Nyerere (rip).
 
Abaki kwenye fani yake ya dentistry awaachie md specialist wa internal medicine na nyinginezo watoe mchakato wa magonjwa.
Oh!! Kumbe ni dentist!!! Nilidhani ni researcher!!!!
 
Anajifanya anajua statistics ni nini wakati hajui kitu. Huyu lakini siyo yule aliyekatwa mkia? lazima ajipendekeze! Mama akisema itangazwe wangapi wamekufa atasemaje!!!! Puppet tu huyo!!
 
Anajifanya anajua statistics ni nini wakati hajui kitu. Huyu lakini siyo yule aliyekatwa mkia? lazima ajipendekeze! Mama akisema itangazwe wangapi wamekufa atasemaje!!!! Puppet tu huyo!!
Kwa Jiografia ya kichwa cha Dr Mollel kilivyo ni vigumu kuwa na akili
 
Mimi mpaka sasa sielewi kwa nini huyu Bwana pamoja na Boss wake bado wanaendelea kuwa Mawaziri ...... Hapo ndipo huwa nashindwa kumuelewa SSH.
 
Abaki kwenye fani yake ya dentistry awaachie md specialist wa internal medicine na nyinginezo watoe mchakato wa magonjwa.
Hii si Mara yake ya kwanza kuleta kauli za ajabu wakati mwingine - anawafanya Watanzania ni mambumbu mbumbu, mwanzo wakati wa utawala wa Rais Magufuli Mollel aliwahi kutoa kauli kama hizi hizi, Wstanzania wenye akili timamu tulijua Mollel anajipendekeza tu kwa Mkubwa hataki kusema ukweli kwamba Tanzania changa moto za covid-19 bado zipo - current President amekuwa muwazi kwa kusema ugonjwa huu bado hupo nchini na wave ya tatu imekwisha bisha hodi Nchini lakini Mollel bado yu-adamant anaendeleza stories zake za Mickey Mouse by manufacturing lame excuses, kwa taarifa yake takwimu za wagonjwa wa kovid nchi nzima zinaweza kutolewa kila siku in real time kwa kupitia kwenye mtandao unao unganisha computers zote za Govt Hospitals Nchini, ni suala la Wizara ya afya kujipanga jinsi ya kun-consolidate takwimu za wagonjwa wa kovid kila siku ya Mungu na kuzitangaza, mimi sioni kama hilo haliwezi kushindikana kutekelazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…