Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
What goes around comes aroundNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Hili nalijua kipindi kirefu sana zaidi ya 27 ni jitu la hovyo sanaNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Corona tena. Huyu hata KB hajafikishaView attachment 3328020
Huyo ni comedian hapo ameamua kufurahisha hiyo media inayofadhiliwa na Lumumba.
Uzuri wenye akili timamu tunamjua nani ana uwezo mdogo kuliko mwenzake.
View attachment 3328020
Nalijua hili tangu liko Minaki high school, limesoma likiwa lizee, lilikuwa lichafu sana na halijawahi kuwa na ushirikiano na wenzake.Huyu ni mbwa kama mbwa. CHADEMA ndio kwanza imepata uhai
Kwanza mtu anaesoma vitabu muogope.
Huyu mollel IQ yake ni Zero IQ
Data offMmasai mjinga kuliko Masai wote, wamasai ndugu zako wamefukuzwa ngorongoro wewe mpuuzi mjinga huna habari una mtetea huyo mama yako wa ukoo Nini???
Huyu jamaa mwenye macho kama mjusi unamfananisha na Lissu kweli?Nje ya Mada kidogo,
Hivi Mollel na Lissu Nani handsome,kabla hatujaingia indeep
Huyu mkoma anatakiwa ahojiwe alimuombea Magufuli apate corona na kweli ikampataView attachment 3328020
Huyo ni comedian hapo ameamua kufurahisha hiyo media inayofadhiliwa na Lumumba.
Uzuri wenye akili timamu tunamjua nani ana uwezo mdogo kuliko mwenzake.
View attachment 3328020
Watu wenye vichwa na pua modeli hii wanakuwa na mtindio wa ubongoNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Yeye hata ukimwaangalia kichwa tuu unagundua kuwa hana hata huo ubongoNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Huyo kenge na bichwa lake hilo kama pumbu ndio wakulinganisha IQ ya Lissu!!!Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Hiyo medis iliyomhoji inachukua fungu kutoka ofisi ya Msigwa kupromote propaganda ndio huo upumbavu hapo wanamhoji eti anasema ana uwezo kuliko Lissu.Huyu mkoma anatakiwa ahojiwe alimuombea Magufuli apate corona na kweli ikampata
Nimecheka kijinga sanaNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Dr.Mollel amemuelezea Lisu kwa ufasaha, ukweli na uwazi sana aise 🐒Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Hilo la Lissu kuwa na roho mbaya sana nina uhakika nao kwa asilimia mia.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.