Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Hasta zaidi wewe.Kabisa hasa barvicha
USSR
Ameamua kutema nyongo ! Liwalo na liwe 🤣🤣Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Lakini na yeye pia ni mshauri kwa wadhifa alionao. !Kwa mara ya Kwanza Dr mollel ameongea point hata Mimi naunga mkono kauli yake
Nadhani hiyo sio account yake ! Fake news !Haya weeeh!. Dr anasagiwa kunguni. Mwulize ndugai juu ya nguvu ya mitandao.
Duh ! Kama kweli ni yeye aliyetamka hayo basi jamaa ni mwamba Kweli kweli !!Kwa maana rahisi ni kwamba mambo mengi yanayofanyika ni ya kijinga
Aaaah............ astakafullahi!!!!!Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Hasa kwa vile mtoa Tuhuma ni MollelUjinga wenu?
Kuna washauri wa raisi hawa ndiyo wanapanga Nani atakuwa mkuu wa wilaya,mkurugenzi,mkoa na mambo mengine hata namna ya kuendesha nchi ni wao wapo..Lakini na yeye pia ni mshauri kwa wadhifa alionao. !
Hapo ndo kaomba msaada tutani.Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Weka Video ya haya maneno......isije ikawa vita za madaraka hizo au kuhamisha ajenda ya Bilioni 7.5 za ukarabati wa MV MagogoniDuh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Hii ndio shida ya CCM ukweli ukisemwa basi amekiuka ujinga wao.Huyu atakaa bench mapema.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huyu mjinga dk uchwara ndo alijenga Banda la kujifukiza muhimbili Ambalo mara ya mwisho walimuingiza umo Magufuli na hakupona corona
Huyu mjinga dk uchwara ndo alijenga Banda la kujifukiza muhimbili Ambalo mara ya mwisho walimuingiza umo Magufuli na hakupona corona