Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

It's true, wananchi wengi ni wajinga.

Kwa kulitambua hilo ndio maana baba wa taifa aliasisi vita dhidi ya ujinga, umasikini na maradhi.

Wananchi wengi ni wajinga, masikini na wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali. Vita hii bado haijaisha.
Wananchi ndo Washauri wa Rais? We KENGE lini utakuwa na akili?
 
Duh

=====

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
😅😅😅 Ameagana na nyonga?asubiri kutumbuliwa soon,mama anataka chawa promax,na sifa ya chawa wengi ni upeo mdogo wa kujua na kuchanganua mambo.chawa kigezo chao kikuu ni kujua kujiatach na mhusika na kufyonza damu kwa bidii zote 😅😅dkt molell sijui Kama utasalimika mweh
 
Kama Rais anashauriwa na Wajinga na ameteua wajinga hahahahà na kwamba ikumbukwe kuwe Raisi ameshawahi pia kuwa mshauri wa Rais aliyepita...... anyway ukiangalia hii circle ⭕ unaweza kujikuta umesema Raisi nae ni "mwerevu"!
mmh!!?
 
Back
Top Bottom