DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aisee lazima tuseme ukweli .Wewe kila mada ni magufuli?!,, tuepushie basi ujinga wako, au jpm alishakushikisha ukuta akakudhurumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee lazima tuseme ukweli .Wewe kila mada ni magufuli?!,, tuepushie basi ujinga wako, au jpm alishakushikisha ukuta akakudhurumu?
Siyo wengi ni woteNa wengi wanaomshauri ni wana ccm
Wananchi ndo Washauri wa Rais? We KENGE lini utakuwa na akili?It's true, wananchi wengi ni wajinga.
Kwa kulitambua hilo ndio maana baba wa taifa aliasisi vita dhidi ya ujinga, umasikini na maradhi.
Wananchi wengi ni wajinga, masikini na wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali. Vita hii bado haijaisha.
Mojawapo ya hao wajinga wanaomshauri rais ni yeyeDuh
=====
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
😅😅😅 Ameagana na nyonga?asubiri kutumbuliwa soon,mama anataka chawa promax,na sifa ya chawa wengi ni upeo mdogo wa kujua na kuchanganua mambo.chawa kigezo chao kikuu ni kujua kujiatach na mhusika na kufyonza damu kwa bidii zote 😅😅dkt molell sijui Kama utasalimika mwehDuh
=====
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
Sio kweli yeye anajitambua.Mojawapo ya hao wajinga wanaomshauri rais ni yeye
😅😅😅Dokta kaisha 😅,btw yeye hana udaktari wa heshma?Haya weeeh!. Dr anasagiwa kunguni. Mwulize ndugai juu ya nguvu ya mitandao.
Jamaa kichwa😅😅😅Dokta kaisha 😅,btw yeye hana udaktari wa heshma?
Dah basi Mungu wake amtetee,ana upara Kama mwanangu wapili,huenda nami nimezaa kichwa😅🙏Jamaa kichwa
We makalioDah basi Mungu wake amtetee,ana upara Kama mwanangu wapili,huenda nami nimezaa kichwa😅🙏
mmh!!?Kama Rais anashauriwa na Wajinga na ameteua wajinga hahahahà na kwamba ikumbukwe kuwe Raisi ameshawahi pia kuwa mshauri wa Rais aliyepita...... anyway ukiangalia hii circle ⭕ unaweza kujikuta umesema Raisi nae ni "mwerevu"!
Acha dharau we chawa,Dokta kawagusa chawa wa maza 😅😅😅We makalio
Yeye ni mshauri wa rais naye ni mjinga. Na rais anayepokea ushauri wa wajinga tumwitejeDuh