Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Duh

===

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Pamoja na mtaji wote wa madaktari wenzake wa falsafa waliojaa ndani ya chama, bado ushauri wao wa kidaktari unaonekana ni wa kijinga kwake.
 
Kuna washauri wa raisi hawa ndiyo wanapanga Nani atakuwa mkuu wa wilaya,mkurugenzi,mkoa na mambo mengine hata namna ya kuendesha nchi ni wao wapo..
Hawa mawaziri ni stamp Tu ni watu wa kutekeleza amri wanazopewa na washauri wa raisi, kwahiyo huyu jamaa alichosema ana uhakika nacho na anajua kinachoendelea Huko ndani
Ana Roho ngumu !
 
Duh

===

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Watu wa kaskazini na kiburi Cha elimu, utasema wamesoma peke yao...ukute yeye ndiye jinga kwelikweli
 
Yeye ndiye alishauri teaching hospital Mloganzila ipewe Muhimbili national hospital sijuwi akili zikoje nchi hadi Leo hatuna university Teaching hospital! !!.
 
Duuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo Rais kazungukwa na wajinga , alafu wajinga wenyewe ni wana ccm [emoji23][emoji23][emoji23] .. wenye PhD zao ..
Kwahiyo kumbe serikali ya mama Samia ina wajinga wengi [emoji28][emoji28][emoji28] , .. huwa tunawaambia ccm imejaa wajinga kweli kweli lkn huwa mnaona tunawasimanga , haya sasa Dr molell kathibitisha
 
Mfano wa watu wenye bahati zaidi duniani ni huyo jamaa kuwa kwenye nafasi kama hiyo ... yaani duuuuh
 
Back
Top Bottom