ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
100%Ndo ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Ndo ukweli
Maradhi ya ujinga yanakuzwa na uchawa,na nikisababishi kiongozi cha kuwepo maadui wengine umaskini,na maradhi,🤔.Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.
Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.
Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.
Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.
Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.
Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
Waliambiwa wenye akili wawili tu pale kwao. Ila aliyesema hivyo ndio wako naye sasa........hasa mashabiki wa Simba
KweliMaradhi ya ujinga yanakuzwa na uchawa,na nikisababishi kiongozi cha kuwepo maadui wengine umaskini,na maradhi,🤔.
Daaah!Mollel mwenyewe ukimwangalia anavyoongea na muonekano wa sura yake, kwa vyovyote vile anaumwa. usonji.
Haya majumuisho umeyafanya baada ya kuangalia familia yako? Video clip iko wapi?Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.
Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.
Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.
Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.
Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.
Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
KweliNa hao wajinga ndiyo mtaji wa CCM.
Wanaccm wenzake ndiyo wajingaKuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.
Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.
Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.
Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.
Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.
Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
ONGEZEKO la WAJINGA KITAIFA LINATISHA NA KUOGOPESHAKuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.
Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.
Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.
Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.
Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.
Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
Mjinga mwingine wewe........hasa mashabiki wa Simba
UPO SAHIHI DR.WAJINGA NI WENGI MNO hasa Wavaa KijaniDuh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
View attachment 2520264
SawaWanaccm wenzake ndiyo wajinga
Kweli kabisaONGEZEKO la WAJINGA KITAIFA LINATISHA NA KUOGOPESHAView attachment 2523121