Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.

Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.

Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.

Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.

Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.

Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
Maradhi ya ujinga yanakuzwa na uchawa,na nikisababishi kiongozi cha kuwepo maadui wengine umaskini,na maradhi,🤔.
 
Mollel mwenyewe ukimwangalia anavyoongea na muonekano wa sura yake, kwa vyovyote vile anaumwa. usonji.
 
Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.

Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.

Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.

Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.

Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.

Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
Haya majumuisho umeyafanya baada ya kuangalia familia yako? Video clip iko wapi?
 
Comment ya kwanza hapo juu ndio udhibitisho hasa wa unacho kizungumzia.

Watu wamejaa ushabiki wa kipumbavu hata kwenye mambo ya msingi.

It's really painfully.
 
Kuna nukuu ina sambaa mtandaoni ikimuhusu naibu waziri wa afya bw. Godwin Mollel kuhusu kauli yake kuwahusu Watanzania.

Huku maoni mengi ya watu wakionesha kuto kufurahishwa na hiyo kauli.

Baadhi ya watu maoni yao yame enda mbali zaidi hadi kumtolea lugha za matusi na kukera kutokana na hayo maneno aliyo zungumza kuhusu Watanzania.
View attachment 2523034
Mtazamo wangu:
Ni kweli kabisa asilimia kubwa ya Watanzania, zaidi ya asilimia tisini [ 90%+] bado ni wajinga wa kutupwa huku maradhi na umasikini vikiambatana juu yao.

Mpaka sasa tumeshindwa kupambana na adui watatu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.

Hasa hasa huyu adui ujinga maana yeye ndie ana sababisha hao wawili walio baki [ umasikini na maradhi ] kuwa hai hapa nchini.

Hivyo Bw Godwin Mollel yupo sahihi kabisa kwa 100%.
Wanaccm wenzake ndiyo wajinga
 
ONGEZEKO la WAJINGA KITAIFA LINATISHA NA KUOGOPESHA
20221104_231648.jpg
 
Back
Top Bottom