Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais.
Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana hakukubaliana nalo bali Msuli wake ulikuwa Mdogo.
Sasa najiuliza kuwa Bunge la Bajeti limeshapita, Sasa hizo feha zilitengwa au Bunge limeidhinisha? na kama hazikutengwa zitatoka kwa bajeti ipi au itaandikwa kwa agizo la Makamu wa Rais?
Kwa hali ya Kiuchumi, Fedha na Mipango ya awamu iliyopita sijajua bado Dk Mpango anawekwaje pembeni na legacy.