Dkt. Mpango aagiza kurejeshwa kwa fedha zilizochukuliwa na Wizara ya Fedha wakati akiwa Waziri

Dkt. Mpango aagiza kurejeshwa kwa fedha zilizochukuliwa na Wizara ya Fedha wakati akiwa Waziri

Ajabu sana.

Sijawahi kuona makamu wa Rais ana matamko kama huyu
Ivi nyie mbwea mnataka mtu afanyaje???kipindi kile mlimsakama dokta Gharibu bilali kuwa anatembea na mkasi wakuzindua vijimiradi, Haya leo Vice president anatoa matamko ya kimamlaka pia mnakosoa mapimbi nyinyi,
 
Baada ya amri hii,hata wasiporudisha"mnyonge" mimi nitajuaje?
 
Naona hapa wafaidika mnajibizana tu na kujiliwaza , Tafadhali mjue hakuna fedha ya serikali ya kuchezea hata senti tano ni fedha maana ni jasho la wananchi, sie tunajali kodi zetu zitumike vizuri . VP kazi hapo hapo fedha ni mali ya wananchi wasituchezee hao.
 
Ivi nyie mbwea mnataka mtu afanyaje???kipindi kile mlimsakama dokta Gharibu bilali kuwa anatembea na mkasi wakuzindua vijimiradi, Haya leo Vice president anatoa matamko ya kimamlaka pia mnakosoa mapimbi nyinyi,

Nikujibuje hapa Mpendwa?
 
Ana kauli tata sana,
1.SERIKALI IMECHOSHWA NA MIGOGORO YA DINI.
2.NAAGIZA
3.SITAKI KUSIKIA
4.NAAMURU
Ni sehemu tu yamaneno amekuwa akitoa akiwa kwenye ziara
Huyo ni msaidizi mkuu wa rais na kuna kipindi anakuwa ndiye rais mwenyewe.
 
Back
Top Bottom