Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ana kauli tata sana,
Au mama ni bosheni najua kazi ya makamu kwenda kufungua mbio za mwenge zahanati n.kAjabu sana.
Sijawahi kuona makamu wa Rais ana matamko kama huyu
Toka nimekuwa huyu makamu namuona ananguvu sanaAna kauli tata sana,
1.SERIKALI IMECHOSHWA NA MIGOGORO YA DINI.
2.NAAGIZA
3.SITAKI KUSIKIA
4.NAAMURU
Ni sehemu tu yamaneno amekuwa akitoa akiwa kwenye ziara
Yeye na rais wake wote wamewekwa tu, hakuna aliyechaguliwa so huenda "wanatoshana nguvu"!Ana kauli tata sana,
1.SERIKALI IMECHOSHWA NA MIGOGORO YA DINI.
2.NAAGIZA
3.SITAKI KUSIKIA
4.NAAMURU
Ni sehemu tu yamaneno amekuwa akitoa akiwa kwenye ziara
Ridiculous! Pesa hiyo ilichukuliwa vipi kutoka wizara yake bila yeye kujua? Tutasikia na kushangaa mengi.Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais.
Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana hakukubaliana nalo bali Msuli wake ulikuwa Mdogo.
Sasa najiuliza kuwa Bunge la Bajeti limeshapita, Sasa hizo feha zilitengwa au Bunge limeidhinisha? na kama hazikutengwa zitatoka kwa bajeti ipi au itaandikwa kwa agizo la Makamu wa Rais?
Kwa hali ya Kiuchumi, Fedha na Mipango ya awamu iliyopita sijajua bado Dk Mpango anawekwaje pembeni na legacy.
View attachment 1859530
Siamini kabisa kiongozi wa nchi wa level yake anaweza kutoa statement minor kama hii. kwasababu million 188 ni fedha ndogo sana kuizungumzia kwenye level ya maendeleo ya nchi kwa nafasi yake , hii ni fedha ndogo ya level ya mtu binafsi tena mfanyabiashara wa kawaida tu pale kariakoo. tunatakiwa kuwa na viongozi wenye vision kubwa katika kutatua matatizo ya nchi. kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu alikuwa waziri wa fedha na mipango sasa anakwama wapi kuiona broad picture ya ki-budget badadala yake anaongelea vijisentisenti.Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais.