Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuandika barua ya kuacjia majukumu flani, na kukataliwa ni kawaida. Yaani utake, usitake (hata kama utafanya chini ya kiwango) hakuna kuondoka
 
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni

Quote
 
Kwa kuwa makamu wameshapendekeza kutokea bara,
Je miezi 6 ni mingi sana, yakitokea ya kutokea halafu yeye akaamua asingombee kiti cha urais na yeye anatokea Zanzibar je itabidi mgombea urais atokee Zanzibar au Itabidi awe Emmanuel Nchimbi na makamu sasa apendekezwe mwingine? Au kwenye plan za Ccm mgombea urais wa JMT atakuwa Mwinyi?
 
Kwanini VIONGOZI wako wawili wajiuzulu kwenye kipindi chako?? Hakuna MTU anayeweza kujibu
 
Kwa kipindi chote alichohudumu hiyo nafasi hajaisaidia Kigoma kwa chochote kile wakati wenzie wanajenga Kizimkazi.

Dr Mpango ni mzigo acha apumzike.
Ndalichako ataisaidia
 
Mimi ninaomba kwenye katiba kuwe na kipengele cha kuzuia rais au viongozi kuwa na kupendelea kwao kupeleka maendeleo kwao na haya yametokea sana kipindi cha Magufuli na Samia.
Watanganyika nendeni Zanzibar mkaone upendeleo wanaofanya kwa sasa barabara za ndani ndani hadi za vijijini (mashamba) Zanzibar zinajengwa kwa kiwango cha lami.
Na wakati hapo tu Dar mitaa mingi barabara za ndani hazina lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…