Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kwa hiyo siyo kama Mbowe?
Mbowe nasikia form 6 alipiga division 1 kaliKwa hiyo siyo kama Mbowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo siyo kama Mbowe?
Mbowe nasikia form 6 alipiga division 1 kaliKwa hiyo siyo kama Mbowe?
huyo hajui chochote anadhani Kigoma ya sasa ni kama ile ya zamani, Kigoma imebadilika "mnasema Mwanza ni Mujii Kigoma ni bhulekiyaao"Lakini barabara zimejengwa mkuu! Umeme wa grid umeshafika Kigoma! Pale mjini pote pametandikwa lami! Sasa mnataka nini cha zaidi?
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo.
Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema
""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.
Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"
Biteko naye ni nje ya nchi!Mpango kapigwa TK-O.
Nadhani arrogance, conservatism na hardline approach imemuondoa.
Au labda ndio wale Mkuu wa Majeshi alisema........ wa nchi jirani
Bado majaliwa aje apigwe tukio pale akae Biteko.
Fake hewaTeam jiwe wote out
Biteko hawezi kukaa pale kama ulifatilia CDF alichokisema!Pale anakaa biteko madelu anabaki kuwa bwana fedha draft limeisha
Kwanini VIONGOZI wako wawili wajiuzulu kwenye kipindi chako?? Hakuna MTU anayeweza kujibu""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.
Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"
Siasa ni zaidi ya mazingaombweMzee ameomba apumzike ili wengine waendeleze mapambano. Huu ni uzalendo
Ndalichako ataisaidiaKwa kipindi chote alichohudumu hiyo nafasi hajaisaidia Kigoma kwa chochote kile wakati wenzie wanajenga Kizimkazi.
Dr Mpango ni mzigo acha apumzike.