LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Hawa wana siasa wamesha ona na kuamini Watanzania ni wajinga. Kama hakuna corona Jiwe ana fanya no ini kwao? Upuuzi mtupu.Kama hakuna tahadhari ya nini?
Nadhani ifike mahali wanasiasa wa awamu ya tano wote kwa ujumla wao washtakiwe kwa kosa la mauaji ya kukusudia.
Wakiongozwa na Jiwe kama mtuhumiwa namba moja.