Hawa wana siasa wamesha ona na kuamini Watanzania ni wajinga. Kama hakuna corona Jiwe ana fanya no ini kwao? Upuuzi mtupu.Kama hakuna tahadhari ya nini?
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewataka watumishi wa Wizara ya hiyo kuchukua tahadhari za ugonjwa wa korona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa.
View attachment 1686394
alafu we jamaa akili zako hovyo. sasa kama nchi zingine za jirani kuna covd19 kwanini hapa tusichukue tahadhariKama hakuna tahadhari ya nini?
Tanzania tunahitaji ndege kama hii!
Uchochezi huo. Achukuliwe hatua mwa kuzua hofu. Tanzania ni salama. Hakuna korona!Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewataka watumishi wa Wizara ya hiyo kuchukua tahadhari za ugonjwa wa korona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa.
View attachment 1686394
Corona corona corona mficha mara..........
Huyu naona kashiba kayoga kipindi cha xmass
Hivi huyu ni mzalendo kweli anazungumzia makorona hapa nchini kwetu?Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewataka watumishi wa Wizara ya hiyo kuchukua tahadhari za ugonjwa wa korona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa.
View attachment 1686394
Wengine hawachelewi kusahau kama kukuKama hakuna tahadhari ya nini?
Ukweli utabakia kuwa ukweli,yeye kesha jitua mzigoHuyu wazir kama anakiri ugonjwa haupo si anawajaza hofu watumishi?
Kwamba mkatorick wa CHATO dua zake zinapokelewa haraka kuliko wa Roma huko Italian?Hii corona mbona ilikuwa imesahaulika kabisa toka may 2020 ni kipi kimeiibua kwa speed kiasi hiki au kuna aina mpya ya kirus imetua bongo.
Ngoja tusubiri tuone kama Jiwe atakaa Chato miezi miwili kama kipindi kile cha mpaka papai lina Corona aah kaka tuchati
Babu zakuambiwa changanya na zakoMie Niko tofauti na wengine.
Why watumishi Wa fedhaa pekee INA mana ndo anaowapenda Sie tusio watumishi Wa fedha inakuwa je ivi,tusio na ajira tumekaa tu home ni kuchati inakuwa je ivi.
Haya labda wao ndo wako covid prone alone
Rais keshatuambia korona haipo, tumeishinda cha msingi tulime ili tusaidie mataifa ambayo bado yanaendelea kupambana na corona.alafu we jamaa akili zako hovyo. sasa kama nchi zingine za jirani kuna covd19 kwanini hapa tusichukue tahadhari