Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona

Mabeberu wanataka kutuharibia sekta yetu ya utalii Zanzibar ambapo mambo yanakwenda sawa kwa wageni kufurika kwa mamia wakishuka na ndege kubwa toka moja kwa moja Moscow, Minski, Warsaw, USA, Uingereza kufaidi raha za fukwe safi, hewa safi, urojo safi, utalii uvuvi ktk bahari ya buluu n.k
 
alafu we jamaa akili zako hovyo. sasa kama nchi zingine za jirani kuna covd19 kwanini hapa tusichukue tahadhari
Kwani yale maombi yaliyozuia hii ya hapa nchini hayawezi kuzuia hiyo ya mpakani?
 
Yani unachukua tahadhari kwa kitu ambacho hakipo.
Aongee tu ukwel asijikanyake
 

Hiiii bagosha.

We can't breathe.

Tunashindwa kupumua.

Nduhu u kweshema!
 
Ni Msimu wa Vumbi na Mafua makali.

Wear Mask.

Sanitize often.

Practice Social Distancing.

It helps a lot!

Achana na viporojo vya jonijo.
 
Mwezi wa 12 Ndege zimeleta wageni wengi Tanzania tokea Nchi zenye maambukizi makubwa ndiyo maana corona imepamba moto zaidi mpaka mtukufu akaamua kukimbilia chato kujificha huko
Tuendelee kufanya maombi ili corona imfuate huko huko alikojificha.
 
Sasa tahadhari ya nini na nchi haina Corona
 
Tuseme waheshimiwa wameona hatari kubwa hata kwao eeeh,maana wanainteraction kubwa na wageni........

NB:Mpaka sasa ni Mawaziri 10 wamefariki kwa Corona SADC
 
Ukiishi kijiji kisichokuwa na barabara tafadhali usithubutu kununua gari.
 
🙄🙄🙄oohhooooooooo mmhhh haya endelea na mpango wako
 

MBONA HAKUONESHA MFANO KWA KUVAA BARAKOA? ANAMUOGOPA JIWE? HAWA WANAFIKI MBELE YA BOSS WAO HAWATHUBUTU KUSEMA UKWELI WANAISHIA KUBABAISHA TU!
 
Hapa wezi hakuna lakini marufuku kulala mlango wazi🤣🤣
 
Waziri zungumza moja, corona ipo au haipo usiwe vuguvugu.
" Huu si msimu wa baridi, ila toka na koti na ulivae" mtu akikupa hayo maelekezo utamuelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…