Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Lazima tufahamu ya kawmba huu mradi umejengwa kwenye eneo la urithi wa asili ulio chini ya UNESCO hivyo makampuni mengi makubwa yalikataa kwa kua yangekua blacklisted.
Hivyo ikabidi nchi iamue kumpa mwarabu ili akisubcontract sawa tu ilimradi mradi huu ukamilike kwa kua tulikuwa hatuna namna wakubwa walitubana.
Makamu wa Rais anajua hii maneno so tusilaumiane km tutalipa mzigo ule ule tuache kazi iendelee.
Mwandishi umesema kua mafuriko ya covid ndio yalisababisha delay si kweli wakati wa covid kazi pale ilifanyika isipokua kuna wakati kuna mafuriko yalitokea ambayo yalisimamisha kazi pale power house.
Tuache siasa kwani hata hapa jf kuna taarifa iliwahi kuandikwa ikieleza kampuni ya Elsewedy ambayo ni mojawapo ya wajenzi wa bwawa ilitakiwa kuwa blacklisted.
Tuseme tu tulikua hatuna pa kwenda ndio maana mwarabu alipewa hiyo kandarasi.
 
Kama sijakuelewa vile unauza madaraja, sitaki hata kujua unapohifadhi hizo inventory zako.

Au unataka discussion za realistic energy investment, maana hiyo ndio ilikuwa sababu ya kusema kule Twitter wana mijadala delusional.

Hapana. Haikuwa kuhusu energy investment.

Yapo mengi naweza kuleta hapa lakini sina haja.
 
13 October 2021

Majumuisho ya Ziara ya Makamu wa Rais : Mradi wa JNHPP / STIEGLER'S GORGE RUFIJI upo nyuma ya muda ulioainishwa ktk mpango kazi

  • Mashine na mitambo
  • Tanesco
  • Udhaifu wa mkandarasi
  • Wafanyakazi wa mkandarasi hawatoshelezi
  • Kuwepo kutoelewana juu ya Tafsiri ya mkataba
  • Sub contractors
  • Mapungufu makubwa ya Uwezo na ujuzi wa main contractor
  • Tanesco wanaupungufu wa wahandisi, wanasheria na wafanyakazi
  • Majaribio ya ku test umeme yatakuwa na mashaka mradi ukukamilika
  • Mvua nyingi
  • Uviko 19
Source : Tanesco Yetu
 
Makamu hana maadili na hajui nini cha kusema kwa nani mazingira gani wakati gani na asemeje. Utopian Vp!
 
Wamisri wakisikia kauli hizi za Mpango haitaleta picha nzuri
 
binafsi si amini kama Dr.Mpango ameyasema hayo, kama kweli basi kuna tatizo down the line hasa hasa kwa watu wanao mshauri - kwani

Bandiko # 83 hapo juu ktk Video Makamu wa Rais bila kumungunya maneno ktk video hiyo ya Tanesco Yetu anelezea mapungufu yote ikiwemo ya main contractor kukosa uwezo na ujuzi. .
 
Hapana. Haikuwa kuhusu energy investment.


Yapo mengi naweza kuleta hapa lakini sina haja.
Basi itakuwa unataka kunitungia uongo maana sina interest ya twitter discussion recently zaidi ya maswala ya nishati.

Either kukurupuka Kwa waziri kuhusu LNG, fantasy za kuuza 20% ya TANESCO etc with their nonsense. Kama ni nje ya hapo labda umechanganya wachangiaji.

Huko kwenye biashara yako ya madaraja good luck.
 
Hili John Heche alilisema bungeni wabunge wa ccm ikiwemo Mpango mwenyewe walilipinga na kumzodoa Heche.

Bagamoyotuletee video ya John Heche juu ya mkandarasi kutokuwa mzoefu na ujenzi wa mabwawa ya umeme.
 
Madhara ya chanjo yanaanza kuonekana mapema ....samia karopoka mara kibao ,,, leo tena karopoka makamu ..


Duuh
 
Power struggle ndani ya CCM nguvu ipo upande wa mama 2025, watu wanafikiria umakamu wa raisi mpaka 2030.
 
CCM imejaa wanafiki na Mpango mwenyewe hoja ya mkandarasi kukosa uzoefu walilipinga bungeni na ccm wenzie.

Nimeshasema hili bwawa huko mbeleni litasimama kujengwa ili wezi wa nchi waanze tena kupiga hela za Tanesco.
Muda utasema
 
Kuna kipindi wajumbe wa kamati ya bunge walienda kukagua ujenzi wa barabara ya lami wakawa wanaibonyeza kwa mikono kujua uimara wake.
 
Bandiko # 83 hapo juu ktk Video Makamu wa Rais bila kumungunya maneno ktk video hiyo ya Tanesco Yetu anelezea mapungufu yote ikiwemo ya main contractor kukosa uwezo na ujuzi. .
Sorry, maoni/ushauri was Dr.Mpango's huko valid kabisa nilikuwa sijasikiliza/angalia video clip yake kwa kuwa ilikuwa pages za nyuma kabisa.
 
Logic!
viongozi wetu ni level za kawaida sana
 
Sasa hapo tumwamini yupi? Kalemani alilihakikishia bunge kuwa tarehe 15 Novemba kabla ya saa 12 jioni bwawa litakuwa limejazwa maji. Kwahiyo mkuu unataka kuniambia tuanze kuliita bwawa la Babeli?
Naomba video plse
 
Mkuu muonee tu huruma mpango jamaa ni puppet kaagiza aseme tu hivyo. Mpango sidhani hata anafurahia kuwa makamu. He is so soft spoken and innocent. Kalazimishwa tu aseme hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…