Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

Katika mambo yote ya msingi aliyoongea hili la Mishangazi ndio limeonekana kipaumbele tu kwenye media,tanzania tunafuatilia mambo ya hovyo kuliko ya maana, tuna safari ndefu sana.ni habari za kujadili upuuzi na mpira tu
Serikali inajadili mambo ya faragha kweli? Badala namna bora ya kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja.
Tunahitaji kurudi shule?, swali fikirishi je nani anarudi shule?
 
Wala wasilaumiwe vijana. Hiyo mishangazi na mijomba ndiyo iliyokosa adabu.

Kijana akilipata jishangazi linalojigongesha afanye nini?

Vijana wenyewe wa siku hizi wakifika miaka 30 tu, hoi bin taabani, mpaka wabustiwe. Mishoga mingi.

Ngojeni nfunguwe uzi niwape Kisa cha kweli cha mshangazi na kijana mdogo kabisa.
 
Ningefurahi pia kama ungetoa maon yako (mrejesho) kuhusu maoni/michango inayo endelea hapa kuijadili hotuba hiyo nzuri.

Nadhani kuna juhudi zinazofanywa kwa maksudi! kuiua JF; hasa kwenye Jukwaa hili la Siasa

Aisee -mkuu sifikirii Kama umeangalia mwenendo wa siasa zetu vizuri.

Mimi nimeona kwa sasa I have nothing to offer in politics ground .

Hivyo nimeamua kuwekeza katika mambo ambayo yatasaidia MTU kumjenga hasa kiakili n.k
 
Aisee -mkuu sifikirii Kama umeangalia mwenendo wa siasa zetu vizuri.

Mimi nimeona kwa sasa I have nothing to offer in politics ground .

Hivyo nimeamua kuwekeza katika mambo ambayo yatasaidia MTU kumjenga hasa kiakili n.k
Heshima yako.
Lakini, angalia kwa mfano mstari wako huo wa mwisho: "...kumjenga hasa kiakili, n.k.."
Utaweza vipi kuifanya kazi hiyo mtu binafsi, au hata kundi, nje ya SIASA?

Mkuu, 'DR HAYA LAND", hayo aliyo ongelea Makamu wa Rais, ndiyo hasa moyo wa taifa/nchi yoyote ile duniani yenye sifa za kuwa nchi; na hayo maswala yote aliyo orodhesha Makamu wa Rais, ndiyo hasa kazi muhimu ya serikali yoyote yenye kujuwa maana ya uongozi ni nini hasa.
Haya tunayo yashuhudia sasa hivi kwenye nchi yetu, ndiyo yanayo tudidimiza kabisa; na kama hatutastuka mapema matatizo haya yatakuwa ndiyo ya kudumu na kuwa sehemu ya tamaduni zetu.

Unapoona nchi kama Haiti, usifikiri hao binaadam wameumbwa ili wawe tofauti na binaadam wengine. Tabia hizo ni matokeo tu ya uongozi usio kuwa na Dira yoyote juu ya hatma ya taifa husika.
 
Kweli mkuu umeongea fact barikiwa Sana .

Ntaanza kuchangia ktk siasa Nina
Mambo ya kushare hapa.
 
Katika mambo yote ya msingi aliyoongea hili la Mishangazi ndio limeonekana kipaumbele tu kwenye media,tanzania tunafuatilia mambo ya hovyo kuliko ya maana, tuna safari ndefu sana.ni habari za kujadili upuuzi na mpira tu
Hicho ni kigezo muhimu cha kujuwa upeo wa wananchi wa taifa husika ulivyo.
 
Uchawa ndio tatizo. So aanzie huko huko ccm na sirikalini
 

Kwani ni dhambi FaizaFoxy kijana kupendana na lishangazi na kufunga ndoa na kuishi pamoja?

Ninavyofahamu lishangazi ni mwanamama mwenye umri mkubwa akaanzisha uhusiano na kijana wa chini ya umri wake.
Kuna mahala dini imekataza hili kama hawa watu wakioana?

Tunasubiri kisa chako.
 
Hivi nani alimnyima .kasi huyu mdingi.
Kipindi qcha bilal angekua zake vijijini huko anakata utepe nyumba za walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…