Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Kuna vitu mnatakiwa kujua hukmu yake kabla hajatoa ushauri wa nini kifanyike.
Talaka ina hukmu zake na baada ya kutolewa kuna masharti lazima yatekelezwe.
Kuhusu kuachana, Uislam unaruhusu Mwanamke kujivua kwenye ndoa kama atakuwa ana sababu na atatimiza masharti ya kujivua ambayo ni pamoja na kurudisha mahari aliyopewa.
Kwahiyo Dada yetu huyu ana nafasi ya kujivua kwa kuteleleza sharti hilo, kinyume chake Mwanaume akitoa talaka anatakiwa kutimiza masharti yote ambayo ni pamoja na kumfidia mwanamke baadhi ya mambo, ikiwemo kumpatia kiazio cha maisha, uhakika wa makazi baada ya hapo.
Sasa wanawake wa siku hizi, wanadai talaka ila wanalazimsha wanaume watoe talaka ili wanaume wawajibike kwenye kuwafidia kitu ambacho ni mtego.
Muulizeni Queen, je amefata taratibu za kujivua kwenye ndoa kwakuwa yeye ndio anadai talaka? Kwanini alazimishe Dr. Mwaka ataoe talaka yeye wakati yeye hakuwa na nia ya kumuacha mkewe?
Kinachotafutwa hapa ni kumuingiza Dr. Mwaka kwenye mtego, atoe talaka ambayo hakuowahi kuiombea ili baadae sheria ifate mkondo wake wa kugawana mali, na huyu Dada atakuja kusema mimi sikutaka hivyo ila sheria ndio zinataka tugawane na hapo mtakuja kusema hapa, yaani atatumia watu baki kujifanya wamemshauri na kumlazimisha na hapo ndio mtakuja kumhurumia Dr. Mwaka.
Mwisho, ajivue kwenye ndoa hiyo mwenyewe na kanuni zinasema, akijivua mwenyewe hakuna kufidiwa chochote na hakuna mgawanyo wa mali.
 
Ya ndani mkuu yanawahusu wao. Ila kwenye dini Dk anafanya makosa huyo mwanamke kama anfanya zinaa ni makosa ya Mwaka kutompa talaka kutomuacha huru wakati yeye ana mke mwingine.
Yaani mke umgharamie wee, ajiamulie kuliwe kuliwa nje na aombe talaka kirahisi tu?
 
Umenena vyema.
 
Pa1 na hyo assessment yako Mr. Mshana, story ya upande wa pili (wa dr. Mwaka ni.muhimu sana).....wanaume ktk ndoa au mahusiano na maisha kwa ujumla huwa tunabeba mengi sana kwnye vfua vyetu[emoji848]
 
Hayo ya kukataa mali na kila kitu .....yamekuja jana (Jahaz)
 
POINT....[emoji847]
 
Bado analipa lakini na umri unamruhusu [emoji23]
 
Pa1 na hyo assessment yako Mr. Mshana, story ya upande wa pili (wa dr. Mwaka ni.muhimu sana).....wanaume ktk ndoa au mahusiano na maisha kwa ujumla huwa tunabeba mengi sana kwnye vfua vyetu[emoji848]
Ndio maana tukaaswa tuishi nao kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…