TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Mtu alikuwa na miaka 59 unasema alikuwa kijana.
 
Inaonekana hata mzigo ulishawahi kula enzi hizo za kucheza
 
Pascal Mayalla ni mtoto wa mjini ingawa ni msukuma
Sisi wengine nikiwemo mimi ni Wasukuma wa new generation ambao Baba ni Msukuma alitoka usukumani na ule ushamba ushamba wa Kisukuma, akao mke wa kabila jingine, watoto tukazaliwa mjini, tukakulia mjini, tukasomea mjini, hivyo ule ushamba ushamba wa Kisukuma hatuna!.
P
 
Hakika Taifa limepoteza mtu muhimu! R.I.P Dr. Mwele Malecela, Pole nyingi kwa ndugu jamaa na marafiki!
 
Inasikitisha sana, Nampa pole nyingi Mzee wetu John Cigwiyemisi Malecela na Familia nzima, kwa kweli Mzee Malecela amefikwa na misiba mingi sana, amezika mke na watoto. Mungu ampe nguvu katika huu uzee wake.
 
Katika watu ninaowakubali basi nawe Pascal upo katika orodha
 
Kindergarten Bongo zimeanza longi tena zilikuwa za wazungu. Mimi nimesoma St. Peters Kindergarten, Tanga, baadhi ya niliosoma nao, mpaka leo nakumbuka vizuri with their two names.
Nikiwa age 3, kuna vitu navikumbuka hadi leo!.
P
Hongera ndugu kumbe umetokea familia bora sisi wengine tumesoma kwa kuunga unga kuchunga ng’ombe wiki, wiki inayofuata shule..

Na tulivyokuwa na miili mikubwa na ndevu walimu walikuwa wanapigika hasa 😄
 
Hongera ndugu kumbe umetokea familia bora sisi wengine tumesoma kwa kuunga unga kuchunga ng’ombe wiki, wiki inayofuata shule..

Na tulivyokuwa na miili mikubwa na ndevu walimu walikuwa wanapigika hasa 😄
Nimetoka a modarate family ya baba na mama ni civil servants wa enzi za Nyerere, chai ta maziwa, mkate na siagi ni basics tuu!, lakini shule tunakwenda kwa TZ 11, unga wa Yanga tumekula, foleni za kupanga mawe tumepanga, shule za UPE , tumesoma, sekondari zote tumesoma za serikali.
P
 
Mimi ni wa 60s. Mwele amenitangulia madarasa mawili, mdogo wake Mwendwa ndio age mate wangu. Mimi Babu, nina 8 kids na 5 grand childrens !.
P
Ukifika 60+ ndiyo utakuwa babu now ni mtu mzima tu kama ilivyo akina January Makamba sema watanzania wengi wamefoji umri kama akina Kabudi unaweza kuta hata ana miaka 86
 
Ila back in the days ilikuwa hivyo kwa wote, shule za serikali lakini watoto wa mawaziri, wahindi(hata wanaotoka kwenye prominent businesses families), hata wale waliokuwa wanarudi kutoka 'majuu' ambao Kiswahili wanakuja kujifunza wakifika Bongo.

Ulikuwa ni mchanganyiko mzuri na hakukuwa na matabaka unlike these days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…