Mimi nilimfahamu Marehemu kwenye kampeni za mabusha, lakini pia nilisoma na Marehemu Ippy shule moja, Pia kuna mahali nilikuwa naishi nyumba ya jirani kulikuwa na mdada anaishi na Mama yake, Yule mdada nilikuja kuambiwa ni mtoto wa Mzee Malecela, wala sikubisha, umbo na sura ni kama Mzee mwenyewe, Bahati nzuri yule Mama naye aliwahi kunisimulia ilikuwaje wakakutana na Mzee.1,2 na 6 ndio wameshatangulia, sio?
Pamoja na Le Mutuz, Mzee Malecela alikuwa na watoto 7 tu ama kuna wengine?
Duh...!. yupo, mkutane wenyewe, mpendane wenyewe, sisi barua tunapokea na unajipatia mke mwema!.Hauna mtoto wa kike ambaye amefikia umri wa kuolewa....upate mkwe hapa....natanguliza shukrani
Like father, like son!, ni moja ya changamoto ngumu sana, namuomba sana Mungu, aniwezeshe before it's too late!, just pray for me!.Dah!...vipi wewe umejitahidi kuwaweka pamoja watoto wako?
Please respect the right to privacy za watu!.Mimi nilimfahamu Marehemu kwenye kampeni za mabusha, lakini pia nilisoma na Marehemu Ippy shule moja, Pia kuna mahali nilikuwa naishi nyumba ya jirani kulikuwa na mdada anaishi na Mama yake, Yule mdada nilikuja kuambiwa ni mtoto wa Mzee Malecela, wala sikubisha, umbo na sura ni kama Mzee mwenyewe, Bahati nzuri yule Mama naye aliwahi kunisimulia ilikuwaje wakakutana na Mzee.
Me too[emoji28][emoji28]Sisi wengine nikiwemo mimi ni Wasukuma wa new generation ambao Baba ni Msukuma alitoka usukumani na ule ushamba ushamba wa Kisukuma, akao mke wa kabila jingine, watoto tukazaliwa mjini, tukakulia mjini, tukasomea mjini, hivyo ule ushamba ushamba wa Kisukuma hatuna!.
P
Paschal, Waafrika tuna mambo yetu, mambo yetu sio siri, kama Siri muulize Nape.Please respect the right to privacy za watu!.
P
Baba gani Tena?Pumzika kwa amani baba
1984 umenikumbusha disco la marehemu Kalikali pale YMCA, marehemu Mama ananipa shilingi tano ya kununua soda nikiwa ukumbini.Alikuwa anaitwa Senyagwa, siyo Senyangwa! Alifariki 1984 Mbuyuni karibu na St Peters akiwa anaendesha Benzi la baba yake akitokea alfajiri kwenye disco. Baba yake alikuwa safarini kikazi Uingereza alikotumwa na Mwalimu, yeye nyuma yake akachukua funguo za benzi ya baba yake kutoka kwa mama yake na kwenda night club, nadhani wakati akirudi alfajiri alizidiwa na usingizi na ndipo aka-crash kwenye lori na kufariki hapo hapo.
Pole mzee Malecela. Ila huyu mzee alimmaindigi Lowasa akiwa kijana baada ya kumuibia kwenye deal walifanya kadhia iyo akaiweka moyoni hadi kijana wake naye lemutuz alikuwa nayo chuki kwa Lowasa.Dr mwele ametangulia kwa Mungu ila amemuacha baba ake hapa duniani .Wanasema usiombe mzazi azike mtoto .Mzee malecela alikuwa na Mtoto wake Dr mwele mpaka alipofariki .Mungu akiamua ameamua .Amen
Duh upo wapi mkuu?Pumzika kwa amani baba
Kwahiyo kurud salama ndio akawa jasus mbobezi?? Wabongo wakikupenda aisee vyeo vyote watakupa πππππpole zimuendee huyu mkongwe na gwiji la siasa hapa nchini,ni jasusi mbobezi haswa ,membe hatii mguu. kabla ya Vita kuanza ,vuguvugu lilikuwa ndo limewaka Moto,idd Amin alimpaga Salam mwal.kuwa atamchapa risasi live , kiongozi yeyote wa tz atakayejipendekeza kupeleka pua yake Uganda,Sasa bana mwal. akamtumaga mzee malecela aende Uganda kwa Amin ,ajaribu kuongea na Amin aache chokochoko,mzee John alienda ,na kurudi salama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tanzania kila mtu anaweza propaganda na kusifia sifia ndio maana uchawa umegeuka ajira kwa vijana na wazee.Kwahiyo kurud salama ndio akawa jasus mbobezi?? Wabongo wakikupenda aisee vyeo vyote watakupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dr mwele ametangulia kwa Mungu ila amemuacha baba ake hapa duniani .Wanasema usiombe mzazi azike mtoto .Mzee malecela alikuwa na Mtoto wake Dr mwele mpaka alipofariki .Mungu akiamua ameamua .Amen
Watu wa Kaskazini wakishakutana na makabila ambayo kidogo yanaushamba lazima wawapige mkifanya deal pamoja.Pole mzee Malecela. Ila huyu mzee alimmaindigi Lowasa akiwa kijana baada ya kumuibia kwenye deal walifanya kadhia iyo akaiweka moyoni hadi kijana wake naye lemutuz alikuwa nayo chuki kwa Lowasa.
Lowasa alipokuwa anataka kuwa rais kwa udi na mzee John aliiapa atapigana Don asichukue nchi.
July 2015 alikatisha kabisa matibabu yake nje faster nakurudi Bongo alipofika JNIA akaonganisha faster Dodoma eti alichodai kwenda kuongeza nguvu Lowasa kukatwa na kuchinjiwa baharini. Hakuna mtu Tanzania aliyfurahi Lowasa kukatwa jina lake july 2015 kama mzee
Simulizi kutoka vijiwe vya umbea vya wanavitengo waliostaaf
R.IP Mwele