Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
O level ilikuwa ni Boys only, A level ni Co Éducation ilichukua PCM na PCB. Mwele alikuwa darasa moja na Dr. Mwinyi, rais wa Zanzibar tangu Primary.Sikujua Tambaza ilikuwa shule ya wasichana in the 70's
Yet huteuliwi popote pamoja na kusoma na wateule hii inaonyesha una kasoro.Mtu utasomaje na kila mtu?, mimi sijasoma na kila mtu, ila nimetokea kuwa na kumbukumbuku nzuri kwa niliosoma nao, au darasa moja, shule moja, au chuo kimoja, tena huwezi amini nawakumbuka kwa majina, toka niliosoma nao Kindergarten!, ila imetokea wengi niliosoma nao, tangu Primary, sekondari, A lever na Chuo, they happen to be somebodies!.
Tena huyu, sio tuu nimesoma nae, hadi kwao tumecheza!.
P
Kwenye cv yake inaonyesha kasoma weruweru na kilakala, na hizo ni shule za wasichana tu. Wewe unaitwa paskali, mbona nashindwa kuelewa? Au wewe ni ke?Senyagwa ndio wa kwanza kwao, Mwele ni wa pili, Mwendwa ni wa tatu, mwendwa ndio darasa moja na mimi, Ippy ni wa mwisho. Tukiwa primary alitutangulia, Mimi nimejiunga Tambaza form 1, Senyagwa yuko form V - PCM. Nikiwa form III, Mwele akaja Tambaza PCB.
P
A-level since way back ilikuwa ni mchanganyiko.Sikujua Tambaza ilikuwa shule ya wasichana in the 70's
Very sad..View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI)...
Mkuu ina maana wewe umepisha miaka mi5 na Mama SAMIA?? AiseeeMkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Anaondoaje hiyo adhabu?Mwenyezimungu amuondolee adhabu za kabri, amjaalie pumziko jema. Amen
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kama kaburi lina adhabu wachimba makaburi kazi wanayo hizo adhabu mbona watazipata kibaoMwenyezimungu amuondolee adhabu za kabri, amjaalie pumziko jema. Amen
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hivi Lemutuz ana mke na watoto? Na huyu marehemu ana mme na watoto?Le mutuz ana 68, ni mkubwa kuliko dada yake marehemu.
Then kuna vijana wanakuchukulia poa. Pole yetu sote. Sisi waosha magari hapa kijiweni tunamkumbuka alikuwa zaidi ya bossMkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Mkuu kumbe tuanze kukuamkia asee maana Mwele ana 59, but hongera snMkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Tarehe 26 March 2022 angetimiza 59. Kwa hiyo amefariki akiwa na 58 na miezi 11
Siri ya kifo? Jamani hii anajua MunguAligombea urais, ni nini siri ya vifo kwenye muhula huu Mshana Jr nifafanulie hapa
“Thesis yake ya PHD ukigoogle inapatikana university of London.” Binadamu ni maua hakuna bora zaidi ya mwingine….hizo ni “mbwembwe”Duu RIP
Mimi ni wa 60s. Mwele amenitangulia madarasa mawili, mdogo wake Mwendwa ndio age mate wangu. Mimi Babu, nina 8 kids na 5 grand childrens !.Mkuu kumbe tuanze kukuamkia asee maana Mwele ana 59, but hongera sn
Sio kweli, amefariki na miaka 59, tarehe 26 March 2022 angeanza mwaka wake wa 60.Tarehe 26 March 2022 angetimiza 59. Kwa hiyo amefariki akiwa na 58 na miezi 11