TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Halafu enzi Ile akiwa MEWATA yeye ndio alikuwa msimamizi wa Ile kampeni ya kupima kansa ya matiti. Kweli mganga hajigangi.

Mimi nilikuwa naishi Houston, Texas miaka kama 10 imepita. Kuna Dr mmoja wa Pharmacy nilikuwa nacheza naye Tennis alikuwa ametokea Nigeria. Siku mmoja akaja kucheza Tennis akafa kwa stroke uwanjani pale. Kumbe alikuwa hatumia hata dawa ambazo madaktari walimpa za pressure. Madaktari wengi wanajiamini sana na hii sio nzuri. Lakini simuongelei huyu Mama maana sina habari za uhakika huu ni mfano tu
Mama yangu ni ya ziwa na iligundulika stage 2 ila hakuna tulichoambulia. Usinidanganye. Hizo tafiti zao possibility ya error ni kubwa au walikutana na sample yenye same feature...

Kila binadamu ni tofauti , aina ya cancer lakini ilevile matibabu mfano kwenye cancer za maziwa washauri ni ukipata kuyatoa yote hata kama ni stage 1 and 2 wengi wanatoa moja au wanafanya matibabu halafu hawatoi. Hivyo huwezi kutumia mtu mmoja na kusema cancer ndiyo hivyo tena. Mimi naongelea mamilioni ya watu na data. Mimi binafsi hapa nimepoteza mgojwa kwa cancer ya tumbo hii ilinifanya nijue cancer na matibabu yake. Mtu akipata cancer ya ziwa mshauri atoe yote. Cancer ya maziwa inamtindo wa kurudi baada ya miaka michache. Ina wezekana vilevile mama yako alipata aggressive cancer ambayo haikubali chemo.
 
Hapo sijazaliwa hata ndo mama anatongozwa tongozwa na dingi...
Shikamoo baba mkubwa
Marhaba Nakadori , kiukweli heshima ni kitu cha bure, madingi kama mimi, tuko humu na watoto wetu, halafu vitoto vidogo vinatutukana mtu anayeweza kuwa baba/mama yake wa kumzaa na kujichumia laana za bure!. Tuheshimiane jamani!.

P
 
Mimi nilikuwa naishi Houston, Texas miaka kama 10 imepita. Kuna Dr mmoja wa Pharmacy nilikuwa nacheza naye Tennis alikuwa ametokea Nigeria. Siku mmoja akaja kucheza Tennis akafa kwa stroke uwanjani pale. Kumbe alikuwa hatumia hata dawa ambazo madaktari walimpa za pressure. Madaktari wengi wanajiamini sana na hii sio nzuri. Lakini simuongelei huyu Mama maana sina habari za uhakika huu ni mfano tu

Kila binadamu ni tofauti , aina ya cancer lakini ilevile matibabu mfano kwenye cancer za maziwa washauri ni ukipata kuyatoa yote hata kama ni stage 1 and 2 wengi wanatoa moja au wanafanya matibabu halafu hawatoi. Hivyo huwezi kutumia mtu mmoja na kusema cancer ndiyo hivyo tena. Mimi naongelea mamilioni ya watu na data. Mimi binafsi hapa nimepoteza mgojwa kwa cancer ya tumbo hii ilinifanya nijue cancer na matibabu yake. Mtu akipata cancer ya ziwa mshauri atoe yote. Cancer ya maziwa inamtindo wa kurudi baada ya miaka michache. Ina wezekana vilevile mama yako alipata aggressive cancer ambayo haikubali chemo.
Wala ziwa lingine halikuwa na shida yeyote
Kwa ishu hii tutabishana mpaka kesho.
I agree to disagree
 
Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.

Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye.

A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana!.

Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.

RIP Dr. Mwele Malecela.
P

Shikamoo Baba
 
Wala ziwa lingine halikuwa na shida yeyote
Kwa ishu hii tutabishana mpaka kesho.
I agree to disagree

Kila mtu ana uzoefu wake. Mimi nipo kwenye healthcare industry hapa US kwa miaka zaidi ya 15. Mimi nasema kwa uzoefu wangu na natoa ushauri wa bure. Kama kuna mtu kakutwa na cancer kwenye matiti nashauri yaondolewe yote. Cancer ya ziwa ina tabia ya kuridi inaweza kuwa miaka 3-5 na ikirudi inakuwa aggressive cancer na ina attack ziwa lililobaki. Hivyo kila mtu amauzoefu tofauti lakini tuongelee data sio case binafsi maana jamii haiwezi kufanya maamuzi kwa kesi binafsi
 
Pole sana kwa familia yake na ndugu wote wanaohusika na msiba huo
 
Hongera sana Pascal Mayalla,shikamoo yako kwanza.....hao watoto nane wote ni kwa mama mmoja ama
Kiukweli mimi ni a modern man, kumzalisha mke mmoja watoto 8 ni kumtesa na kumzeesha bure!. Japo mimi ni devoutly Catholic, ila pia Sukuma Traditionalists kwa kuchukua mazuri ya mila zetu za asili. Wasukuma hatuna mila ya mke mmoja wala mtoto anayeitwa mtoto wa nje, hivyo mama Mkubwa na wadogo wamesaidiana! kwa uwiano wa 2:3:3.
Naomba huku tusiende zaidi, ila niliwahi kushauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
 
Marhaba Nakadori , kiukweli heshima ni kitu cha bure, madingi kama mimi, tuko humu na watoto wetu, halafu vitoto vidogo vinatutukana mtu anayeweza kuwa baba/mama yake wa kumzaa na kujichumia laana za bure!. Tuheshimiane jamani!.

P
Kwa hizi fake IDs mtoto wako unayemlea nyumbani kwako ambaye hajaanza kujitegemea anaweza kukutana kwa kukwambia 'upo kwa shemeji yako hapo na ki-Tecno chako unaandika upupu', ni kuyameza tu kadri yanavyokuja.
 
Senyagwa ndio wa kwanza kwao, Mwele ni wa pili, Mwendwa ni wa tatu, mwendwa ndio darasa moja na mimi, Ippy ni wa mwisho. Tukiwa primary alitutangulia, Mimi nimejiunga Tambaza form 1, Senyagwa yuko form V - PCM. Nikiwa form III, Mwele akaja Tambaza PCB.
P
Dk Sechela ni yupi?nlikua namuona akielezea ugonjwa wa covid
 
It's true nimemruka,
1. Senyagwa
2. Mwele
3. Sèche
4.Mwendwa
5. Catherine
6. Ippy.
inawezekana mimi nimewachanganya Seche na Mwele, sikumbuki who was who !.
P
1,2 na 6 ndio wameshatangulia, sio?

Pamoja na Le Mutuz, Mzee Malecela alikuwa na watoto 7 tu ama kuna wengine?
 
Salamu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Naomba kutoa pole nyingi kwa familia ya Dr Mwele Malecela,madaktari wa Afya ya Jamii,umoja wa madaktari wanawake Tanzania na mikoa iliyoathirika kwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele.

Kuna mikoa ilisifika sana kwa mabusha mfano Tanga,Dar na Pwani lakini kwa sasa sifa hiyo imeondoka...

Haijaondoka hivi hivi bali kwa juhudi za wanafamilia wa afya ya jamii wakiongozwa na Dr Mwele Malecela na kampeni yake kubwa ya kutokomeza matende na mabusha.

Hili pekee kwangu linatosha kumpa heshima ya kipekee Dr Mwele Malecela nchini Tanzania na katika viunga vya dunia ikiwemo shirika la Afya duniani.

RiP Dr Mwele Malecela....Wakazi wa Uzunguni Arusha Tutakumiss!
 
Mimi ni wa 60s. Mwele amenitangulia madarasa mawili, mdogo wake Mwendwa ndio age mate wangu. Mimi Babu, nina 8 kids na 5 grand childrens !.
P

😢😢😢😢😢
Sikujua kama ni mkubwa hivyo , nilisoma na ndugu zako wakina Rehema kama nakumbuka vizuri walinizidi madarasa matatu walikua wanakaa nyumba za Railway ukivuka Taa za Kamata Kariakoo nilishawai kukuona pale nikiwa mdogo
Kumbe wewe ni Baba na Babu na sio Kaka
 
Back
Top Bottom