Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wanashambuliwa na nani na wanapofanyaje Hadi washambuliwe hao miamba Yako?Sasa kwanini huwa mnawashambulia kina lema, Lissu na mwamba Mbowe?
Wengi; wengi tu wamepitia hiyo nafasi akina the late Dr. Mgimwa; madam Mkuya; the late Mkulo; the late Kigoda; Mramba; to mention few. Wengi sana.Dr Kigwangalla: Ukiwa Juu epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka
ππππ
Dada Esther unampambania kweli kweli mumeo Lameck.Sawa dada
Task force lengo ni jema ila utekelezaji ni mbovu ni mwanya wa kutengenezeana ulajiKwanza Mimi Huwa napinga Hadi keshokutwa kuzuia task force,task force ziwepo Ili Kila mwananchi alipe Kodi akininunua.
Task force ambao watakiuka sheria washughulikiwe na waanze kuvaa body camera
Wavae body camerasTask force lengo ni jema ila utekelezaji ni mbovu ni mwanya wa kutengenezeana ulaji
Chief godlove yupi wapi
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Wale task force wapo mpaka saa sita usiku wakiamua lao hata hzo kamera zinaweza zisione chochoteWavae body cameras
mimi nimemsikia vizuri sana na amesema kweli kabisa,kwamba kuna watu wamesajiliwa kukusanya vat ya serikali na wanafanya ujanja kuziiba,hiyo haikubaliki
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika
Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Katibu anakuona kutokea mbinguni πππππ¨ Shenzi mkubwa wewe tapeli
Kwa hiyo spy code hazifanyi kazi usiku?Wale task force wapo mpaka saa sita usiku wakiamua lao hata hzo kamera zinaweza zisione chochote
Tusi lako ππππAje tumuuzie Simba awe na timu 3 ligi kuu
Acha ukoo wetu, zungumzia mimi nipo hapa hapa nawe.Akili yangu ukoo wenu wote hamuwezi nifikia
MamakoKakuibia nini wewe tapeli
Yeye mbona ameweza?