Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania

Sidhani kama ni kosa la wafanyabiashara bali ni wao kuiga hizo asilimia za kodi
Wangefanya nusu ya hiyo labda
Lingine tutajuaje kama malipo yote yanaingia serikalini?
 
Kosa ni kuwa kwake tajiri au kuiba kwake ? Kwahio akikusanya alafu akawa masikini kwa kuifuja hio pesa ni sawa ?
 
Dr Kigwangalla: Ukiwa Juu epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

😂😂😂😂
Wengi; wengi tu wamepitia hiyo nafasi akina the late Dr. Mgimwa; madam Mkuya; the late Mkulo; the late Kigoda; Mramba; to mention few. Wengi sana.
 
Tuanze na yeye, mshahara wake na marupurupu yanamuwezesha kuwa na mali alizonazo leo?
 
Kwanza Mimi Huwa napinga Hadi keshokutwa kuzuia task force,task force ziwepo Ili Kila mwananchi alipe Kodi akininunua.

Task force ambao watakiuka sheria washughulikiwe na waanze kuvaa body camera
Task force lengo ni jema ila utekelezaji ni mbovu ni mwanya wa kutengenezeana ulaji
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Chief godlove yupi wapi
 
Mbona hata yeye ni tajiri kwa pesa zisizo eleweka chanzo chake
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
mimi nimemsikia vizuri sana na amesema kweli kabisa,kwamba kuna watu wamesajiliwa kukusanya vat ya serikali na wanafanya ujanja kuziiba,hiyo haikubaliki
 
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote anayekusanya fedha ya Serikali ni lazima aifikishe sehemu husika

Dkt. Mwigulu amesema haiwezekani kumuachia mtu anayekusanya fedha za watanzania halafu akawa tajiri huku akina mama wajawazito na wanafunzi wanakosa huduma kwa sababu yake
Yeye mbona ameweza?
 
Back
Top Bottom