Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.
Mpina ameomba Waziri Dr Mwigullu PhD na Prof. Mbarawa Wakamatwe na kufungwa kwa Uhujumu Uchumi.
----
Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya Bunge, leo Novemba 3, 2023 wakati Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia hoja kisha kujibiwa na Mbunge na Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba kuhusu upigaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 30.
Mwigulu amekuwa akihenyeshwa na Mpina karibia miezi sita mfululizo, hana hamu kabisa na huyo jamaa.
Huyo Mbarawa ni sawa na mdoli tu wa Samia, hata yeye binafsi naamini anajua kabisa hastahili kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi, amshukuru dada yake anayemlinda.
Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Mwigulu amekuwa akihenyeshwa na Mpina karibia miezi sita mfululizo, hana hamu kabisa na huyo jamaa.
Huyo Mbarawa ni sawa na mdoli tu wa Samia, hata yeye binafsi naamini anajua kabisa hastahili kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi, amshukuru dada yake anayemlinda.
Mpina anaishi na machungu sana awamu ya sita. Angalau biashara zilizokuwa zinakufa awamu ya tano kwa sasa zinafunguka na mzunguko upo vizuri huku mtaani.
Hakuna jitu jinga km Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu. Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Mpina ana vinyongo vingi na wivu kama mke mwenza. Alipiga kelele nyingi sana suala la uwekezaji wa DP World pale TPA na hakuwa na lolote la maana katika hoja zake zaidi ya kelele za mtu mwenye wivu.