Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

Mwigulu amekuwa akihenyeshwa na Mpina karibia miezi sita mfululizo, hana hamu kabisa na huyo jamaa.
Wote wezi tu ndio maana hawamchukulii serious. Ni sisi wananchi tusiokua na akili ndio tunamuona Mpina ni mzalendo!! Huyu Mpina anayetaka ripoti ya CAG iheshimike huko nyuma aliwahi sema inatumika kumchafua JPM na alikua mmojawao waliotaka CAG Assad achukuliwe hatua na bunge!! Cha ajabu leo hana uwaziri ndio anaamini ripoti za CAG?

To hell
 
Mpina anaishi na machungu sana awamu ya sita. Angalau biashara zilizokuwa zinakufa awamu ya tano kwa sasa zinafunguka na mzunguko upo vizuri huku mtaani.
Mtaa gani useme watu wahamie huko. Mafuta haya shikiki,mgao husio eleweka. Hivi vyote vimepandisha hali ya maisha ya Mtz.Labda kama unazungumzia Burundi alipopasema Mwigulu.
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya Bunge, leo Novemba 3, 2023 wakati Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia hoja kisha kujibiwa na Mbune na Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba kuhusu upigaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 30.

Hakuna jitu jinga km Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu. Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Unajua ww ndio jinga la kwanza kumfahamu mtu toka mzumbe hakufanyi mtu asiongeee ukweli mbona ww upo JF HAPA UNAONGEA KWA JINA FEKI unaogopa nni kujiweka kwa jina lako wakufumue kinyeo hicho
 
Gold haijawahi kuwa chafu.🤔
 
Mtaa gani useme watu wahamie huko. Mafuta haya shikiki,mgao husio eleweka. Hivi vyote vimepandisha hali ya maisha ya Mtz.Labda kama unazungumzia Burundi alipopasema Mwigulu.
Watu wanakarabati frames na kuingia wakianzisha biashara mpya kila kukicha. Zile zile frames zilizokula vumbi wakati wa JPM.

Bei kupanda ni kawaida sana katika masuala ya kiuchumi, hauwezi kukaa na bei zile zile miaka mitano na kuendelea, kupanda wakati mwingine ni ishara ya nguvu za kiuchumi kuwa kazini.
 
Kati ya mawaziri ambao hawajui wafanyalo ni huyu mnyiramba.
Halafu bado Mh Rais ana mkumbatia.
Hakuna mwenye chuki binafsi na Mwigulu lakini huyu jamaa ni mwizi.
 
Watu wanakarabati frames na kuingia wakianzisha biashara mpya kila kukicha. Zile zile frames zilizokula vumbi wakati wa JPM.

Bei kupanda ni kawaida sana katika masuala ya kiuchumi, hauwezi kukaa na bei zile zile miaka mitano na kuendelea, kupanda wakati mwingine ni ishara ya nguvu za kiuchumi kuwa kazini.
Nimekuuliza unakaa mtaa gani maana hizi nyingine unazo andika ni chai,wewe sema unakaa mtaa gani kwa faida za wanaJF wahamie huko.
 
Watu wanakarabati frames na kuingia wakianzisha biashara mpya kila kukicha. Zile zile frames zilizokula vumbi wakati wa JPM.

Bei kupanda ni kawaida sana katika masuala ya kiuchumi, hauwezi kukaa na bei zile zile miaka mitano na kuendelea, kupanda wakati mwingine ni ishara ya nguvu za kiuchumi kuwa kazini.

Punguza ujuaji na uongo
 
Back
Top Bottom