Mbona ni kama baraza zima la mawaziri sasa. Rais atakosekana hapoMbarawa, Makamba, Mwigulu, Aweso, Nape, Ummy, Bashe, Kijachu, Jafo na Masauni hawafai kuwa kwenye ofisi za umma wanatakiwa magereza haraka sn
Wote wezi tu ndio maana hawamchukulii serious. Ni sisi wananchi tusiokua na akili ndio tunamuona Mpina ni mzalendo!! Huyu Mpina anayetaka ripoti ya CAG iheshimike huko nyuma aliwahi sema inatumika kumchafua JPM na alikua mmojawao waliotaka CAG Assad achukuliwe hatua na bunge!! Cha ajabu leo hana uwaziri ndio anaamini ripoti za CAG?Mwigulu amekuwa akihenyeshwa na Mpina karibia miezi sita mfululizo, hana hamu kabisa na huyo jamaa.
Mtaa gani useme watu wahamie huko. Mafuta haya shikiki,mgao husio eleweka. Hivi vyote vimepandisha hali ya maisha ya Mtz.Labda kama unazungumzia Burundi alipopasema Mwigulu.Mpina anaishi na machungu sana awamu ya sita. Angalau biashara zilizokuwa zinakufa awamu ya tano kwa sasa zinafunguka na mzunguko upo vizuri huku mtaani.
Angekuwa na akili angepima samaki kwenye sahaniMpina ana akili sn, Mwigulu na majangili wenzake lazima walindane bahati mbaya bunge halina hata Spika lina dalali wa Ikulu ana subiri maelekezo pekee
Unajua ww ndio jinga la kwanza kumfahamu mtu toka mzumbe hakufanyi mtu asiongeee ukweli mbona ww upo JF HAPA UNAONGEA KWA JINA FEKI unaogopa nni kujiweka kwa jina lako wakufumue kinyeo hichoHakuna jitu jinga km Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu. Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Kama anatetea mali za umma hatuna tatizo nayeAngekuwa na akili angepima samaki kwenye sahani
Yupo sana tu, sema inatakiwa Baraza la mawaziri livunjwe kabisa na wafikishwe MahakamaniMbona ni kama baraza zima la mawaziri sasa. Rais atakosekana hapo
+ Waziri Mkuu300% correct
Tanzania nzima.Mtaa gani?
Gold haijawahi kuwa chafu.🤔Unajua ww ndio jinga la kwanza kumfahamu mtu toka mzumbe hakufanyi mtu asiongeee ukweli mbona ww upo JF HAPA UNAONGEA KWA JINA FEKI unaogopa nni kujiweka kwa jina lako wakufumue kinyeo hicho
Watu wanakarabati frames na kuingia wakianzisha biashara mpya kila kukicha. Zile zile frames zilizokula vumbi wakati wa JPM.Mtaa gani useme watu wahamie huko. Mafuta haya shikiki,mgao husio eleweka. Hivi vyote vimepandisha hali ya maisha ya Mtz.Labda kama unazungumzia Burundi alipopasema Mwigulu.
Nimekuuliza unakaa mtaa gani maana hizi nyingine unazo andika ni chai,wewe sema unakaa mtaa gani kwa faida za wanaJF wahamie huko.Watu wanakarabati frames na kuingia wakianzisha biashara mpya kila kukicha. Zile zile frames zilizokula vumbi wakati wa JPM.
Bei kupanda ni kawaida sana katika masuala ya kiuchumi, hauwezi kukaa na bei zile zile miaka mitano na kuendelea, kupanda wakati mwingine ni ishara ya nguvu za kiuchumi kuwa kazini.
Watu wanakarabati frames na kuingia wakianzisha biashara mpya kila kukicha. Zile zile frames zilizokula vumbi wakati wa JPM.
Bei kupanda ni kawaida sana katika masuala ya kiuchumi, hauwezi kukaa na bei zile zile miaka mitano na kuendelea, kupanda wakati mwingine ni ishara ya nguvu za kiuchumi kuwa kazini.