Naona wewe ndiye huna mwelekeo kabisa kwa haya unayoyawasilisha hapa. Inaonyesha wazi wewe ni kundi la hao majizi anao waongelea Luhaga Mpina.Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Kwani ni mwaka gani Wavuvi wa nchii hii walikuwa Matajiri? Uvuvi wa kutumia Ngalawa na Majahazi ndiyo wawe Matajiri!!Mpina ana ujumbe mzuri ila yeye ni mjumbe haramu ambaye hana sifa za kuongea anayoongea. Ni mtu aliyewatia umaskini wavuvi wa nchi hii. Au mmesahau alivyokuwa anapima samaki kwa rula? Mpina ni jitu la hovyo linalopaswa kupuuzwa. Ni mnufaika mkubwa wa udhalimu wa awamu ya 5
Unaweza kuitenganisha sekta binafsi ya Tanzania na Makada wa CCM!Changamoto kubwa ni watu wengi kushindwa Kutofautisha nchi na serikali.
Utoroshaji wa pesa za sekta binafsi nao ni sehemu ya upigaji dhidi ya nchi.
Bajeti ya serikali yaweza kuwa tofauti na hali halisi ya uchumi wa nchi kwa ujumla, hasa pale sehemu kubwa ya uchumi inaposhikiliwa na wageni.
Mwenyekiti na yeye anatetea ugali wake,hivyo anacheza kwa stepu maana anajua ata Ubunge alipata kimizengwe!!ni udhaifu wa speaker- ama mwenyekiti wa Bunge, angewaambia tu kila mtu athubitishe madai yake tuone mbivu na nchi
Kwa hiyo upigaji upo au hakuna??Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Unaweza kuwa na hoja ila kauli zako zikakufanya udharaulikeHakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Na katika huo umaskini wao ukiwachomea nyavu unatarajia nini? Acha kutetea upumbavu wa MpinaKwani ni mwaka gani Wavuvi wa nchii hii walikuwa Matajiri? Uvuvi wa kutumia Ngalawa na Majahazi ndiyo wawe Matajiri!!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Nyingi tu, hizi hizi za mijini zinazofanyika kwenye frames, Bar zinafunguliwa na kupanuliwa kwa kasi.Biashara zipi?
Mpina kachoma nyavu Jana? Mlikuwa wapi kumwambia hadi alipomsema Mwigulu kuhusika ktk wizi? Sasa imeshaonekana wazi kuwa Mwigulu awaliwalipa hili mshambulie wanaomkosoa. Hii haina afya kwake.Na katika huo umaskini wao ukiwachomea nyavu unatarajia nini? Acha kutetea upumbavu wa Mpina
Enzi za mwendakuzimu kuna mtu alikuwa anathubutu kusema chochote?Mpina kachoma nyavu Jana? Mlikuwa wapi kumwambia hadi alipomsema Mwigulu kuhusika ktk wizi? Sasa imeshaonekana wazi kuwa Mwigulu awaliwalipa hili mshambulie wanaomkosoa. Hii haina afya kwake.
ongea kwa hoja, usiongee kwa ghadhabu kama mmechukuliana mwanamke. hapa wewe ndio umeonekana mjinga kuliko wote kwasababu unaongea kwa hisia sio hoja.Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Wanajiitaga roomie wenye uko kwa hostel zao mzumbe ππUlikuwa karibu naye sana nini? π
Hoja yake haina maana?Hatutaki unafiki wenu kama alishasemaga ripoti za CAG ni za kumchafua JPM basi aendelee kuamini hivyo sio kisa kakosa uwaziri ndio anajifanya kumtambua CAG
Unahis atakua kada Gani huyu ?πUnaweza kuwa na hoja ila kauli zako zikakufanya udharaulike
TicherUnahis atakua kada Gani huyu ?[emoji16]
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.
Mpina ameomba Waziri Dr Mwigullu PhD na Prof. Mbarawa Wakamatwe na kufungwa kwa Uhujumu Uchumi.
----
Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya Bunge, leo Novemba 3, 2023 wakati Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia hoja kisha kujibiwa na Mbunge na Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba kuhusu upigaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 30.
Vipi mbona jazbaHakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?