Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.

Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Naona wewe ndiye huna mwelekeo kabisa kwa haya unayoyawasilisha hapa. Inaonyesha wazi wewe ni kundi la hao majizi anao waongelea Luhaga Mpina.
 
Mpina ana ujumbe mzuri ila yeye ni mjumbe haramu ambaye hana sifa za kuongea anayoongea. Ni mtu aliyewatia umaskini wavuvi wa nchi hii. Au mmesahau alivyokuwa anapima samaki kwa rula? Mpina ni jitu la hovyo linalopaswa kupuuzwa. Ni mnufaika mkubwa wa udhalimu wa awamu ya 5
Kwani ni mwaka gani Wavuvi wa nchii hii walikuwa Matajiri? Uvuvi wa kutumia Ngalawa na Majahazi ndiyo wawe Matajiri!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Changamoto kubwa ni watu wengi kushindwa Kutofautisha nchi na serikali.
Utoroshaji wa pesa za sekta binafsi nao ni sehemu ya upigaji dhidi ya nchi.
Bajeti ya serikali yaweza kuwa tofauti na hali halisi ya uchumi wa nchi kwa ujumla, hasa pale sehemu kubwa ya uchumi inaposhikiliwa na wageni.
Unaweza kuitenganisha sekta binafsi ya Tanzania na Makada wa CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.

Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Kwa hiyo upigaji upo au hakuna??
 
Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.

Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Unaweza kuwa na hoja ila kauli zako zikakufanya udharaulike
 
Na katika huo umaskini wao ukiwachomea nyavu unatarajia nini? Acha kutetea upumbavu wa Mpina
Mpina kachoma nyavu Jana? Mlikuwa wapi kumwambia hadi alipomsema Mwigulu kuhusika ktk wizi? Sasa imeshaonekana wazi kuwa Mwigulu awaliwalipa hili mshambulie wanaomkosoa. Hii haina afya kwake.
 
Enzi za mwendakuzimu kuna mtu alikuwa anathubutu kusema chochote?
 
Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.

Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
ongea kwa hoja, usiongee kwa ghadhabu kama mmechukuliana mwanamke. hapa wewe ndio umeonekana mjinga kuliko wote kwasababu unaongea kwa hisia sio hoja.
 
Yale maagizo ya kula kwa urefu wa kamba yameitikiwa vizuri
 
Hatutaki unafiki wenu kama alishasemaga ripoti za CAG ni za kumchafua JPM basi aendelee kuamini hivyo sio kisa kakosa uwaziri ndio anajifanya kumtambua CAG
Hoja yake haina maana?

Kwanini siku hizi usichukue tu kadi ya ccm ili umuungr mokono vizuri huyu Samia wako.?
 
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.

Mpina ameomba Waziri Dr Mwigullu PhD na Prof. Mbarawa Wakamatwe na kufungwa kwa Uhujumu Uchumi.

----
Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya Bunge, leo Novemba 3, 2023 wakati Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia hoja kisha kujibiwa na Mbunge na Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba kuhusu upigaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 30.

Na wizi mkubwa ambao CAG huwa anaugundua ni wa nchi gani?
 
Yale maagizo ya kula kwa urefu wa kamba yameitikiwa vizuri
 
V
Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.

Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Vipi mbona jazba
 
Back
Top Bottom