Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

Mbarawa, Makamba, Mwigulu, Aweso, Nape, Ummy, Bashe, Kijachu, Jafo na Masauni hawafai kuwa kwenye ofisi za umma wanatakiwa magereza haraka sn
Toa sababu basi za kila mmoja wao kilichokufanya ufikirie Hivyo. Maana wabongo tunapenda Sana kuropoka bila ya kuwa na ushahidi[emoji16][emoji16]
 
wakati ambao mwana ccm atasimama ukitegemea atoe hoja yenye utetezi juu ya tuhuma zilizopo dhidi ya serikali yake,hali huwa ni tofauti kabisa,huwa wanaishia kutia hasira kabisa.

mama tibaijuka,na vimilioni 10 vya mboga.

sasa mwigulu na kanusho la kutopigwa 30T,unatarajia usikie NO,sio kweli nchi haijaibiwa bali pesa zimepelekwa sehemu fulani,jamaa anajibu hapana hata bajeti haifiki huko[emoji16][emoji16].

hawa jamaa ni mapapai sana.
 
Hoja yake haina maana?

Kwanini siku hizi usichukue tu kadi ya ccm ili umuungr mokono vizuri huyu Samia wako.?
Hoja ipi kama sio unafiki tu wa kuumia kwamba yeye sio sehemu ya mgao huo!!

Wala mie sio Team Samia maana naye ni CCM, mie napinga hao wanafiki mliojificha huko CCM. Mkikosa ulaji mnageuka wazalendo mkipata mnasahau.
 
Mnyukano unaendelea vzr. Ngoja tuzipembue hoja kwa hoja na iliyo na mashiko itashinda tu.
 
Umekasirika sana!
 
Mhhh,mbona joto hasira?

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
 
Kaa Kwa kutulia mwigulu sindano ikuingie
 
Kakuibia nini hebu fafanua weka na ushahidi?.
Katupiga wavuvi pesa naviungo kunawatu wanamaumivu hadileo ziwatanganyika huku kunauvuvi unaitwa kipe hufanyika kwa leseni pia niuvuvi salama tu huvuliwa kwenye kinakirefu chamaji lakini jamaa nawahuni wenzake alisema hatauwe navigezo waowanataka pesa kama hutoipesa vifaa vyako wanachoma nakuteka malizingine mfano engine nakweli walitekeleza ubabe huo ndio maana mpina simpendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…