Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 855
- 591
Toa sababu basi za kila mmoja wao kilichokufanya ufikirie Hivyo. Maana wabongo tunapenda Sana kuropoka bila ya kuwa na ushahidi[emoji16][emoji16]Mbarawa, Makamba, Mwigulu, Aweso, Nape, Ummy, Bashe, Kijachu, Jafo na Masauni hawafai kuwa kwenye ofisi za umma wanatakiwa magereza haraka sn