Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Hvi NIMRI wanafanya nn au nao wanajifukiza? Kwa nn maghufuli asiifute NIMR na kuwafukuza wote kazi ...mpak sa hv hawajaonyesha effort yyte ya wao nao kutafta chanjo ...wamekaa tu kusikiliza matamko ya Wana siasa
Beyond their scope...[emoji23][emoji23][emoji23] yaaani am sure hawana hata idea waanzie wapi na hakuna hata aliyewaza even for a second laba hata wajaribu kukisoma kirusi ndani ya maabara.
 
Mwambie Mwigulu kuwa kinachoangaliwa ni aina ya virus na chanjo yake.
 
Joto la binadamu ni 36.9oC bila kujali yupo wapi.
Wadudu wa maradhi hutegemea hali ya nchi mfano Ulaya na marekani wadudu wa malaria hawawezi ku survive sababu ya baridi kali wanastawi maeneo ya ki tropic kwenye joto kali.Waziri yuko sahihi utafiti wameufanya kwenye maeneo yenye baridi kali ya ulaya na marekani
 
Aibu naona mimi....ukute tunadeal na kiongozi ambae haelewi chochote kuhusu ugonjwa matokeo anaropoka tu. [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Nchi za baridi lakini binadam ni yule yule body temp ni 37°C
Kwani ni dawa gani hazijaanzia kwenye nchi za baridi.. tuache ujuaji
kumbuka hii ni corona(homa ya mapafu) sio kisonono.
 
Anajua factor zinazo tumika wakati wa majaribio au ana ongea tuu maadam yuko mbele ya kamera?
Kuna mambo mengine wana siasa mnatakiwa kukaa kimya.
By the way hakuna chanjo inayo hifadhiwa kwenye moto. Zote huhifadhiwa kwenye fridge..
na zote hufanyia kazi kwenye baridi pia.
 
Mwigulu ni aheri angeficha ujinga wake. Hizo chanjo nyingine, Dar, Njombe, Arusha, Kenya, kila mahali Wana chanjo yao ya polio, surua au tetenasi?
 
Kwenye hizo nchi za baridi binadamu joto la mwili ni 30'? Chanjo ya kifua kikuu imetengenezwa Tanga?
Huyu kasoma sheria na uchumi, sasa huku kwenye tiba kaingiaje au ilikuwa topic kwenye uchumi?
 
Kwa kweli inasikitisha! Wazungu walikufa sana na Polio hadi walipogundua chanjo ambayo imetumika hadi wakati huku. Hii ilikuwa ni Marekani 1955. Labda wakati huo nchi za wazungu zilikuwa hazijaanza kuwa na baridi!
 
Bahati mbaya virus wa corona yupo katika nchi za joto na Baridi, tofauti na virus wa malaria.
 
Nyie mn
Kwenye hil la Corona kila mtu kageuka Daktari, hili ndilo linatuponza Watanzania.
Nyie mnaotangaza watu kufa na corona wakati sio madakitalihuwa mmepewa idhini na nani?
Na huwa mmetumia vipimo gani wakati nyie wenyeqe hata kulipia kipimo hamuwezi?
 
Hii ni chanjo ya kwanza kujaribiwa eneo lenye baridi?

Anayemhoji ameuliza hili swali au la?
Anayemuhoji mwenyewe anavizia udc,udas na uded...
Hawezi uliza swali lenye kumoutshine waziri.
 
Bahati mbaya virus wa corona yupo katika nchi za joto na Baridi, tofauti na virus wa malaria.
sasa mbona sehemu za baridi ndio wanaongoza kufa kwa Corona kuliko sehemu za joto?
 
Aache ukilaza huyo Zinjanthropus. Awe anauliza wanaojua kabla hajahorojoka. Aibu nimeona mimi sasa dah!

Vaccination experiments zinakuwa subjected to different weather prototypes kabla hazijatumika kwenye climate husika!
 
Unajuaje kama yeye kapewa taarifa na madakitari ndo maana kaongea, au ndio mnaitwa wa kukurupuka?

Mnalaumu bila kutumia akili zenu.
Nyie mnatangaza watu wamekufa na korona sasa hiyo taarifa huwa mnatoa nyie ni madakitari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…