Nawaza hivi kuna Parasetamo inayomfaa mzungu kwa sasabu anaishi kwenye baridi na ya Mtanzania anaeishi kwenye joto ? Ukijifanya unajua sana mwisho unasahau kuficha ujinga wako si hao hao waliokua wakiumwa wanakimbilia uko kwenye baridi kutibiwaAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!