Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Nawaza hivi kuna Parasetamo inayomfaa mzungu kwa sasabu anaishi kwenye baridi na ya Mtanzania anaeishi kwenye joto ? Ukijifanya unajua sana mwisho unasahau kuficha ujinga wako si hao hao waliokua wakiumwa wanakimbilia uko kwenye baridi kutibiwa
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Basi aache ziingie zipelekwe Makambako
 
Dar es salaam joto halizidi nyuzi joto 34 lakini mashariki ya kati huzidi 45 na wanatumia chanjo hizo hizo
Mfugaji wa kinyeramba anajifanya anajua kila kitu
 
Anajua factor zinazo tumika wakati wa majaribio au ana ongea tuu maadam yuko mbele ya kamera?

Kuna mambo mengine wana siasa mnatakiwa kukaa kimya.

By the way hakuna chanjo inayo hifadhiwa kwenye moto. Zote huhifadhiwa kwenye fridge.
Absolutely Yes. Hakuna chanjo inayohifadhiwa kwenye Joto.
 
Ipo hoja ndani yake SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
Ujuaji wa namna hii ndio kikwazo kwa maendeleo ya nchi. Kwani DNA yako na ya mtu aliye iceland zina tofauti? Au joto la mwili wako ni tofauti? Jiographia gani hii unahoji joto au baridi ya SA unasahau Argentina and Australia??
 
Dar es salaam joto halizidi nyuzi joto 34 lakini mashariki ya kati huzidi 45 na wanatumia chanjo hizo hizo
Mfugaji wa kinyeramba anajifanya anajua kila kitu
Ndio shida ya madaktari wetu! kujifanya wanajua hata vile ambavyo hawavijui. Anasahau binadamu tuna DNA moja regardless tuko seemu gani ya dunia, hivo mahitaji yetu ili mwili ufanye kazi ni ya aina moja. Sijui anatuambia kuwa joto miili ya watu wa nchi za baridi ni ya chini kuliko sisi wa nchi za joto???? Ee Mungu tuepushe!!!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Hata huku bado wanazipinga, maandamano kila siku.
 
Huyu ni mjinga wa sayansi ya binadamu.
Basi aeleze effect ya environmental temperature kwenye chanjo ya korona au virusi vya korona.
 
Duh... ina maana temperature ya Dar ni unique kiasi hicho? We must be very special then.
 
Hata huku bado wanazipinga, maandamano kila siku.
Kama bado hujajua kwanini huku wanazipinga - bila shaka uko na kazi ya ajabu sana!! Tofauti inayozungumziwa hapa ni nani anapinga. Ni jambo moja Rais au serikali kupinga na ni jambo lingine kwa mwananchi kuamua kupinga na kutochanjwa!! Hata hivo, kinachoongolewa hata ni swala la joto kuwa ndio sababu ya kupinga chanjo - umeshasikia huku ikipingwa kwa sababu hiyo??
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Kweli tunajitoa ufahamu kiasi hiki!!! Doh! Yaani - nachoka! Tafiti hufanywa sio nje kwenye barafu au jua kali bali kwenye mazingira yaliyothibitiwa! Sasa PhD holder anapofikiria hivi tunakuwa na shida kweli. Kwa namna hio, hata wale wanaofanya tafiti za tiba ya ukimwi au TB huko Sweden na kwingine, dawa au kama ingekuwepo chanjo zisingefaa Tanzania!!???
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Kwani chanjo zingine Kama polio, Surua, na dawa Kama za Malaria, ARVs zilitengenezwa wapi?
 
inamana hizi dawa za kawaida tunazo kunywa sikuzote zimetoka nchi za joto? hhh dah! ni aibu sana kwake.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Wakati mwingine inatia kinyaa unapomwona mtu anaesemeka kuwa na PhD anazungumza utumbo ali mradi mkate wake upate siagi.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Atuambie ni kina nani hao walitoroka kimya kimya
 
Back
Top Bottom