Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kaongea ukweli lakiniAiseee wanasiasa na maneno yao duh
Huyo huyo hahahaHuyu ndiye alienda Chato kuapishwa,au nimesahau.........
Kamshahara kako ka laki nne jiwe angechukua afanyie nini?Ni kweli..
Hata mikopo ya kawaida ukienda kuomba ilikuwa unachelewa kupata kwakuwa benki nyingi ziliishiwa..
Watu waliogopa kwanza kuweka fedha kwenye benki kwakuwa kipindi kile fedha za watu zilikuwa zinachotwa na task force ya Jiwe
Tumepitia mengi
Akina Sabaya, kazi yao ilikuwa kuchungulia accounts za wafanyabiashara and then kuwatengenezea zengwe ili watoe helaNi kweli..
Hata mikopo ya kawaida ukienda kuomba ilikuwa unachelewa kupata kwakuwa benki nyingi ziliishiwa..
Watu waliogopa kwanza kuweka fedha kwenye benki kwakuwa kipindi kile fedha za watu zilikuwa zinachotwa na task force ya Jiwe
Tumepitia mengi
Umeujuaje mshahara wake?Kamshahara kako ka laki nne jiwe angechukua afanyie nini?
Yaani kila kitu mnapakazia huyu marehemu..
Ana utajiri upi mpaka apokonywe pesa mnapenda kufuata mkumbo Sana.Umeujuaje mshahara wake?
Hawa hawa walikuwa wanamsifia kupita kiasi dikteta"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Ameyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
Kama saivi Yana pumzi tutegemee mafanikio makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Ameyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
Dikteta aliumiza wengi sana, aliua ndoto za watu wengi, Madelu naye alikuwa ni muhanga wa Uchwara, sidhani kama hii 5 mingine angemaliza naye! Umeona wapi mchumi anapewa wizara ya sheria aiongoze??Hawa hawa walikuwa wanamsifia kupita kiasi dikteta
Angeyasema haya siku 365 zilizopita tungemwona anajitambua na mwanaumeAmeyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.