Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka walete kiherehere wavunjwe viuno?Huyu si alikuwa waziri awamu iliyopita?
Mama Samia alikuwa makamu wa rais
Makamu wa rais alikuwa waziri wa fedha
Ukiwa na cherehani moja ni kiwanda hahahaHalafu walikuwa wanatuambia uchumi unakuwa kwa kasi, viwanda vingi vimejengwa
Hawa machawa wa dikteta Magufuli watasema yote! Shenzi zao!"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Ameyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
Hivi huyu Mwigulu ndiyo yule yule aliweka record ya kuwa waziri pekee aliyekula kiapo cha uwaziri akiwa kijijini Chato nyumbani kwa Mh. Magufuli?"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Ameyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
Gaidi yuko upande wetu jana alikuwa na hangaya ikulu.Daaah jamaa anazidi kuchezea mishale akiwa kuzimu .hawa ma ccm fake wakina Crimea wanazidi kuipambania legacy.
Hii ya kukukopa hata leo usumbufu ni tena mkubwa Sana tena kuna baadhi ya benki zimezidi, nadhani wana stress ya deposit hadi Sasa.Ni kweli..
Hata mikopo ya kawaida ukienda kuomba ilikuwa unachelewa kupata kwakuwa benki nyingi ziliishiwa..
Watu waliogopa kwanza kuweka fedha kwenye benki kwakuwa kipindi kile fedha za watu zilikuwa zinachotwa na task force ya Jiwe
Tumepitia mengi
Haikuwa sahihi kabisa kwa serikali kuwa na blanket access na akaunti za wateja benki. It was inexcusable.Yuko sahihi Kilicholeta shida hiyo ni kitengo cha Anti money laundering na TRA
Mfano wewe Dalali wa mteja anakuwekea Milioni 20 kwenye Akaunti umnunulie mzigo mfanyabiashara wa kongo au Zambia au Malawi au mtu wa mikoani TRA walikuwa wanatreat zote kama mauzo yako ndio maana Kariakoo images business.Walitreate ni income wakiona tu pesa zimeingia kwenye akaunti hiyo wanachululia income! Wakati ni pesa iko held on trust huanza chochote .Waligeuza Akaunti za kampuni kama income akaunti na income statement kwa kila kilichoingia
Au mteja anakuachia mazao umuuzie umpe chake huwezi kaa na mipesa yote nyumbani ukienda ku deposit bank maswali Mia moja unatoa wapi kelele kibao kuwa wewe mtakatisha pesa zinazulumiwa watu wakaacha ku deposit kwenye mabenki anti money laundering walihamia na mifumo yao counter za benki watu wakaona isiwe shida tutakaa na pesa zetu nyumbani yaani hata ku deposit tu shida taabu ya nini?
Mimi ni mmoja nilipiga kelele sana humu kuwa Kitengo cha Anti money laundering kitaua mabenki nobody cared.
Hii ya kukukopa hata leo usumbufu ni mkubwa sanatena kuna baadhi ya benki zimezidi, nadhani wana stress ya deposit hadi Sasa.
Huyu na Nape wanaongoza kwa unafki TanzaniaMchumia tumbo katika ubora wake wa mapambio ya kusifu.
Kuna ukweli/uongo ulikuwa hausemwi enzi za JPM Sasa unasemwa wakati wa SamiaKaongea ukweli lakini
Yaani ilikuwa hivyo TRA na kitengo cha Anti money Laundering utafikiri walikuwa na vita na wenye akaunti benki .Vita kubwa kuliko ya Ukraine na Russia So sad .Watu wakaanza kukwepa kuweka pesa benki wakaziona benki kama ukomaHaikuwa sahihi kabisa kwa serikali kuwa na blanket access na akaunti za wateja benki. It was inexcusable.
Credible banking industry inaruhusu access kwenye akaunti za wateja kwa kibali cha mahakama kinachopatikana kwa mchakato unaokubalika kisheria kwa kusudio maalum. Na kuna masharti yanayolinda taarifa na usalama wa akaunti hizo katika hatua hiyo.
Ilibidi tuwaombe freemasons wamtoe uhai , maana alikuwa anatuharibia mipango yetu.....Kamshahara kako ka laki nne jiwe angechukua afanyie nini?
Yaani kila kitu mnapakazia huyu marehemu..