Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Kinachoniuma kuna wafanyabiashara hadi leo bado hawajasimama.. Wapo hoiAkina Sabaya, kazi yao ilikuwa kuchungulia accounts za wafanyabiashara and then kuwatengenezea zengwe ili watoe hela
Kuna mmoja alikuwa anaagiza spare za pikipiki/ Bajaji.. Nje ya nchi.
Walimdaka akaonyesha anavyolipa kodi.. Task force ya Jiwe wakamwambia unalipa kidogo.
Wakamlamba zaidi ya M 110 benki.
Mpaka leo hana uwezo wa kuagiza.. Hana mtaji.. Watu walifilisiwa.
Tuombe tuu uongozi ule usije tena katika nchi hii