Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba ni kiongozi Mzalendo sana.Haya, Tumpigie makofi Bwana Mchemba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba ni kiongozi Mzalendo sana.Haya, Tumpigie makofi Bwana Mchemba!
Mheshimiwa Waziri ni kiongozi Mzalendo ndio maana anabeba bendera kama ishara ya kulibeba Taifa kifuani na moyoni pake.Waafrika kwa mbwembwe bana, hiyo style ya kuvaa kitmbaa cha rangi za bendera ya TZ shongoni kila mahala ametoa wapi?
Unaumia ukiwa wapi?Acha uzwazwa hii siyo habari
Umejuaje? Yaani ninyi kila kitu ni kupinga pinga na uongo uongo tu.Haiondoi matumizi makubwa ya mawaziri.Maana dereva ametangulia na li v8 lake la milioni miasita kupokea hapo steshen ya sgr.zaidi hapo ametuongezea hasara Kwa sababu yeye halipi nauli kwenye treni
Sawa, kampe kijamb.o chako kama umemkubali sana!.Anastahili pongezi sana Mheshimiwa Waziri wetu.
Umesamehewa dhambi zakoSawa, kampe kijamb.o chako kama umemkubali sana!.
Hayo wasema wewe.Yeye amebubujisha tabasamu SGR wakati dereva wake kachoma wese mwenyewe from station to. Dodoma
Unashangaa nini.
Aseee😄Ndio maana nmekutana na SGR pugu leo linabubujisha honi
Kwanza kama kweli mzalendo angepanda mabasi wanayopanda watanzania walio wengi. UsaniiNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo.
Ambao ni jitihada ,ndoto na kiu ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuona anakamilisha ujenzi wa reli hiyo na kuanza kutumika kwa usafiri huo ambao utachochea biashara katika nchi zote za ukanda wa Maziwa Makuu.
Mheshimiwa Waziri ambaye anaongoza Wizara ambayo ndio kitovu na tegemeo la wizara zote kujiendesha , ameonekana kuwakosha watu wengi sana kwa uamuzi wake wa kutumia usafiri huo , ambao umepongezwa na kusifiwa na watu wengi sana walioonja na kuutumia kusafiri tangia kuzinduliwa kwake.
Kwa hakika Mheshimiwa Waziri au waweza kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi hupenda kumwita ,ameonyesha mfano mzuri wa kuigwa kwa viongozi mbalimbali na watumishi na watendaji mbalimbali wa serikali kuutumia usafiri huo badala ya kukimbizana na magari barabarani,ambapo unakuta wakati mwingine gari la kifahari lililojazwa full tank limebeba watu wawili tu yaani dereva na Bossi wake.
Kwa hiyo itakuwa vyema kama viongozi wengine wataamua kuutumia usafiri huo kwa safari zao za Dar kwenda Dodoma au Dodoma kwenda Dar.hii ni katika kubana matumizi ya pesa za serikali ambazo ni jasho la watanzania wanyonge wanaolipa kodi.
Kikubwa ni kuendelea kuboresha usafiri huu kila panapo onekana kuwa na dosari ,lakini pia kuhakikisha kuwa ratiba inazingatiwa na kufuatwa vyema.kusudi mtu awe na uhakika wa kusafiri kuliko mtu anakuwa na ratiba ya kusafiri siku fulani na muda fulani halafu anasikia ratiba imebadilika ghafla na hakuna usafiri wa treni kwa muda huo.
Kuhakikisha Huduma ziwe nzuri ndani ya treni,wafanyakazi wawe wakarimu,washeshi, wanyenyekevu,wavumilivu ,wenye lugha nzuri kwa wateja na wasikivu sana.hasa kwa kuzingatia kuwa abiria wanakuwa ni watu wenye tabia tofauti tofauti ambapo inahitaji wakati mwingine moyo wa uvumilivu na Upendo.
Wasimamizi wa mradi ni lazima wawe makini , wazalendo,wenye akili na mawazo ya kibiashara na wenye ubunifu na usimamizi mzuri ili mradi ujiendeshe kwa faida na siyo hasara. Kwa sababu haiwezekani unakuta watu binafsi wanaweza kuendesha kampuni yenye magari zaidi ya 20 bila hasara halafu unakuta watu wa serikali wanashindwa kuendesha na kusimamia mradi kama huu wa Treni ya Mwendo kasi .inakuwa inaumiza sana kusikia hasara za mashirika na taasisi za Umma kila mwaka kutoka katika ripoti ya CAG.View attachment 3075853
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hilo siyo shida kwa Mheshimiwa mr clean maana anaweza kupanda usafiri wa aina yoyote ile ambao wanautumia watanzania wengine.Kwanza kama kweli mzalendo angepanda mabasi wanayopanda watanzania walio wengi. Usanii
Umeiona wakati ikitangulia? Au umejiandikia tu ili mradi umeandika?Wakati huo V8 imetangulia na dereva Dom.
Sasa unafikiri akifika Dodoma atarequest bolt???Umeiona wakati ikitangulia? Au umejiandikia tu ili mradi umeandika?
Huku wewe ukijububujikwa na machozi ya furaha manake unaona ni ishi mwigulu kupanda treni wakati nchi za asia kama japan, korea, wabunge hupitiwa na mabasi ya serikali kuwapeleka bungeni, kweli yale maneno ya Trump inatakiwa tutawaliwe for the next 100 years yana ukweli.Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo.
Ambao ni jitihada ,ndoto na kiu ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuona anakamilisha ujenzi wa reli hiyo na kuanza kutumika kwa usafiri huo ambao utachochea biashara katika nchi zote za ukanda wa Maziwa Makuu.
Mheshimiwa Waziri ambaye anaongoza Wizara ambayo ndio kitovu na tegemeo la wizara zote kujiendesha , ameonekana kuwakosha watu wengi sana kwa uamuzi wake wa kutumia usafiri huo , ambao umepongezwa na kusifiwa na watu wengi sana walioonja na kuutumia kusafiri tangia kuzinduliwa kwake.
Kwa hakika Mheshimiwa Waziri au waweza kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi hupenda kumwita ,ameonyesha mfano mzuri wa kuigwa kwa viongozi mbalimbali na watumishi na watendaji mbalimbali wa serikali kuutumia usafiri huo badala ya kukimbizana na magari barabarani,ambapo unakuta wakati mwingine gari la kifahari lililojazwa full tank limebeba watu wawili tu yaani dereva na Bossi wake.
Kwa hiyo itakuwa vyema kama viongozi wengine wataamua kuutumia usafiri huo kwa safari zao za Dar kwenda Dodoma au Dodoma kwenda Dar.hii ni katika kubana matumizi ya pesa za serikali ambazo ni jasho la watanzania wanyonge wanaolipa kodi.
Kikubwa ni kuendelea kuboresha usafiri huu kila panapo onekana kuwa na dosari ,lakini pia kuhakikisha kuwa ratiba inazingatiwa na kufuatwa vyema.kusudi mtu awe na uhakika wa kusafiri kuliko mtu anakuwa na ratiba ya kusafiri siku fulani na muda fulani halafu anasikia ratiba imebadilika ghafla na hakuna usafiri wa treni kwa muda huo.
Kuhakikisha Huduma ziwe nzuri ndani ya treni,wafanyakazi wawe wakarimu,washeshi, wanyenyekevu,wavumilivu ,wenye lugha nzuri kwa wateja na wasikivu sana.hasa kwa kuzingatia kuwa abiria wanakuwa ni watu wenye tabia tofauti tofauti ambapo inahitaji wakati mwingine moyo wa uvumilivu na Upendo.
Wasimamizi wa mradi ni lazima wawe makini , wazalendo,wenye akili na mawazo ya kibiashara na wenye ubunifu na usimamizi mzuri ili mradi ujiendeshe kwa faida na siyo hasara. Kwa sababu haiwezekani unakuta watu binafsi wanaweza kuendesha kampuni yenye magari zaidi ya 20 bila hasara halafu unakuta watu wa serikali wanashindwa kuendesha na kusimamia mradi kama huu wa Treni ya Mwendo kasi .inakuwa inaumiza sana kusikia hasara za mashirika na taasisi za Umma kila mwaka kutoka katika ripoti ya CAG.View attachment 3075853
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma andiko langu uelewe vizuri ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo.Huku wewe ukijububujikwa na machozi ya furaha manake unaona ni ishi mwigulu kupanda treni wakati nchi za asia kama japan, korea, wabunge hupitiwa na mabasi ya serikali kuwapeleka bungeni, kweli yale maneno ya Trump inatakiwa tutawaliwe for the next 100 years yana ukweli.
Hapana nafurahi tuuUnashangaa nini.
Hongera pia kwa Mheshimiwa Rais kwa Dhamira yake thabiti ya kuona kuwa Kama Taifa tunakuwa na usafiri huo wa Treni ya Mwendo kasi itakayo rahisisha usafiri na kuchochea uchumi na biasharaHongera zake