Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

Haiondoi matumizi makubwa ya mawaziri.Maana dereva ametangulia na li v8 lake la milioni miasita kupokea hapo steshen ya sgr.zaidi hapo ametuongezea hasara Kwa sababu yeye halipi nauli kwenye treni
Umejuaje? Yaani ninyi kila kitu ni kupinga pinga na uongo uongo tu.
 
Kwanza kama kweli mzalendo angepanda mabasi wanayopanda watanzania walio wengi. Usanii
 
Huku wewe ukijububujikwa na machozi ya furaha manake unaona ni ishi mwigulu kupanda treni wakati nchi za asia kama japan, korea, wabunge hupitiwa na mabasi ya serikali kuwapeleka bungeni, kweli yale maneno ya Trump inatakiwa tutawaliwe for the next 100 years yana ukweli.
 
Soma andiko langu uelewe vizuri ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…