Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

Wakati huo wewe unabubujika kwenye makalio yako
 
Umeliona likichoma hayo mafuta au unajiongelea tu?
Unadahani anapanda Bodaboda za mama Samia akavunjwe miguu ? V8 Popote pale anapoenda ndani ya hii nchi lazima limfuate ndio usafiri wake rasmi na sio treni ya Mara moja kwa mwaka
 
uzalendo kwa vitendo,
well done waziri comrade Dr Mwigulu 🐒
Ni vema amekumbuka kuwa karibu na mkusanyiko wa wananchi angalau kupitia mass transport vessel kama hii. Kukaa kwake Ofisini kulikuwa kumemuweka mbali na wananchi and it was working to his dissadvantage, compared to other Ministers who regularly are on missions to visit and launch projects where they kill two birds with one stone. Kukaa Ofisini kwa nature ya wizara yake kunamtenga zaidi na wananchi, na ilikuwa almost anasahau hata ku address mass gathering kwenye major events. Nilimuona last Month alipokuwa Geita akimuwakislha Deputy PM. Hakuwa Mwigulu tuliyekuwa tumemzoea akiwa ni good orator na well engager wa audience anapokuwa anahutubia. Kama bado ana mawazo ya kule mbeleni ni bora awe anatafuta namna ya kupata upenyo atoke nje ya Ofisi afanye ziara kama hii ya Mwanza ambayo ameianza. Bado muda upo.
 
Hilo siyo shida kwa Mheshimiwa mr clean maana anaweza kupanda usafiri wa aina yoyote ile ambao wanautumia watanzania wengine.
Kumbuka yeye alikuwa ni mtoto tu wa Mkulima na amepitia hali ya maisha ya wananchi wa familia za Kawaida. Anajua maisha ya wa Tanzania wa kawaida na ameyapitia unlike wale wengine waliobebwa na majina ya baba zao na God fathers.
 
Kwa hakika Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Amefika hapa kwa uwezo wake binafsi wa kiuongozi pamoja na Neema ya Mwenyezi Mungu.ameanzia maisha ya chini ambayo wanaishi watanzania wengi na ndio maana ni mtu mwenye moyo wa huruma na kusaidia watu mbalimbali wenye shida.ndio maana ni kawaida kuona Mr Clean akisaidia wanafunzi mbalimbali wasiojiweza mahitaji ya shuleni.
 
The guy is also smart upstairs . Nilisikia Hotuba ya Maono yake wakati wa mchujo wa ndani wa 2015, he had presented one of the strongest and most promising agendas in his election manifest, alongside that of Prof Muhongo. He had the vision.
 
Amelipa nauli ama amedandia lifti
 
The guy is also smart upstairs . Nilisikia Hotuba ya Maono yake wakati wa mchujo wa ndani wa 2015, he had presented one of the strongest and most promising agendas in his election manifest, alongside that of Prof Muhongo. He had the vision.
Ilikuwa Bonge Moja ya Hotuba maana nilimsikilizaga vizuri sana siku ile .Mimi namuunga mkono na naomba Mheshimiwa Rais aendelee kumuamini kuendelea kuwepo katika Baraza la mawaziri,maana naamini atamsaidia sana Mheshimiwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…