Pre GE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba: Ni ushamba kugombana kisa uchaguzi, tuendelee kumuombea Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio zake akishaona mkeka unakarabia utamuona huyo kwenye media kujipendekeza.

Kabla ya mkeka uliowatoa matapeli wenzake Makamba na Napę; alikuja umu JF na kuanzisha mi mada yake ya kujipendekeza.

Safari hii achomoki inaonekana, amekalia kuti kavi kwa muda mrefu; na muda umefika.

Ni mtu useless anyway
 
Aaache kujitia ujuaji.S Africa hapo wamegombana kuhusu chaguzi hadi kufukuzana uanachama.Aende Kenya aone.USA mtu kakoswakoswa risasi ni kwa sababu ya uchaguzi/siasa.Anawapumbaza wajinga ili CCM wajiandae kuiba chaguzi zijazo na wanyamaziwe.Tunaijua hiyo.
 
Acha Ramli wewe.
 
Kwa hiyo unataka siasa za risasi? Hivi una akili kweli ndugu yangu?
 
Ubongo sio kama tumbo likiwa na njaa linakushtua kuwa ni tupu.

Ubaya wa kichwa kikiwa kitupu hakuna kushtuliwa , wanaobaki kusikitika ni waliokuzunguka ila wewe hata hujijui ni tupu kichwani.
 
Nakubali Dedication yako CDE.
BIG Up SANAA'
 
Jumapili ya leo atulie nyumbani mikeka ya ‘bi-tozo’ inatabia yakutoka usiku, asije achwa na dereva akienda kudhurura habari zikamkuta kwenye hafla.
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…