Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Hata wewe ukifanya kazi utakula tu kwa kazi ya mikono yako.kazi ni kipimo cha utu.Jamaa yako anajua fika utulivu wa wananchi ni fursa ya wao kula na kuvimbiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ukifanya kazi utakula tu kwa kazi ya mikono yako.kazi ni kipimo cha utu.Jamaa yako anajua fika utulivu wa wananchi ni fursa ya wao kula na kuvimbiwa!
Acheni kuchezea uchaguzi.Mnajifanya wakubwa alafu mnaogopa uchaguzi.Wapinzania ndio huwa wanapenda sana mavurugu na lugha za uchochezi hasa baada ya kushindwa kwenye sanduku la kura.
Ooh kumbe mshawahalalishia kula?Hata wewe ukifanya kazi utakula tu kwa kazi ya mikono yako.kazi ni kipimo cha utu.
Dogo ni wananchi gani hao?View attachment 3066963
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista (Wasababato) Mjini Katoro, Mkoani Geita.
Dkt. Nchemba amewaasa waumini hao kuepuka kujihusisha na siasa za fujo na vurugu kwa sababu zinaleta madhara makubwa kwa familia moja moja na nchi kwa ujumla hivyo kuathiri uchumi, umoja na mshikamano wa taifa.
Aidha, Dkt. Nchemba amewataka waumini hao kuendelea kumwombea Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili aendeleze kudumisha maelewano, mshikamano na kusikilizana ambazo ndio zimekuwa falsafa zake tangu aingie madarakani
===
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siasa za risasi atazileta nani zaidi ya hao wasiokubalika kutaka kung'ang'ania madaraka!?Kwa hiyo unataka siasa za risasi? Hivi una akili kweli ndugu yangu?
Unaanzia wapi kuifananisha CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kama CHADEMA kilicho dhaifu na cha hovyo?Dogo ni wananchi gani hao?
Anawaambia wanaccm wenzio
Wenye uchu wa madaraka wanataka kugombea na mama ndani ya chama
Mi Nafikiri igeni wa chadema
Wagombea wote washiriki mdaharo
Atakayeshinda apitishwe kugombea
Raia walishaamua kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo na kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja pamoja na Taifa zima kwa ujumla wakeSiasa za risasi atazileta nani zaidi ya hao wasiokubalika kutaka kung'ang'ania madaraka!?
Waacheni raia waamue muone kama mboga mboga itasalia madarakani.
Raia wapi hao? 🤣Raia walishaamua kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo na kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja pamoja na Taifa zima kwa ujumla wake
Mheshimiwa ameeleweka vyema sana na ndio maana kauli yake imeungwa mkono sanaHizi ni Pumba kama Pumba nyingine nani amegombana ? Au wananchi kukasirika kwamba wanaibiwa na kodi zao kufujwa ndio Kugombana ?
Hivi huyu jamaa kuna anayemuelewa anisaidia na mimi....
1. Kudhulumu Maasai ngorongoro.Atubu kwa makosa yapi aliyoyatenda?
Chadema inaogopwa, na maccmUnaanzia wapi kuifananisha CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kama CHADEMA kilicho dhaifu na cha hovyo?
Hazina ipo imara na ndio maana watumishi wa umma wanaendelea kulipwa mishahara yao bila shida,ajira zinaendelea kutolewa, miradi ya maendeleo Inaendelea bila kukwama wala Kusua sua, hosipitalini zinaendelea kufanya kazi vyema huku zikiwa na vifaa tiba vyote,madawa yote muhimu.pesa za maendeleo zinaendelea kupelekwa kila sehemu hapa nchini.Chadema inaogopwa, na maccm
Imagine hazina imekauka na madeni kibao lakini Abdul anachota mihela kuwapelekea vigogo wa chadema kuwabembeleza wawe washikaji
Mwananchi gani amegombana sababu ya siasa au ndio wanapindisha mambo ili ya Kenya yakifika huku ya kutaka kuwawajibisha wasingizie ni fujo...Mheshimiwa ameeleweka vyema sana na ndio maana kauli yake imeungwa mkono sana
SawaKwani umeona popote katiba ikiruhusu siasa za vurugu?
Dr.Mwigulu yuko sahihi kabisa,View attachment 3066963
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista (Wasababato) Mjini Katoro, Mkoani Geita.
Dkt. Nchemba amewaasa waumini hao kuepuka kujihusisha na siasa za fujo na vurugu kwa sababu zinaleta madhara makubwa kwa familia moja moja na nchi kwa ujumla hivyo kuathiri uchumi, umoja na mshikamano wa taifa.
Aidha, Dkt. Nchemba amewataka waumini hao kuendelea kumwombea Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili aendeleze kudumisha maelewano, mshikamano na kusikilizana ambazo ndio zimekuwa falsafa zake tangu aingie madarakani
===
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Upinzani wa nchi umefirisika kiasi kwamba unataka kutumia vurugu kupata madaraka.hata hivyo watanzania wamegoma kuwaunga mkono wasaka Tonge na wachumia tumbo wa upinzani hasa CHADEMA wanaozurura tuDr.Mwigulu yuko sahihi kabisa,
hawa jamaa wa mihemko na kuporomosha mitusi wajifunze kuzuia ghadhabu na hasira zao za baada ya kushindwa uchaguzi, mbona ni kawaaida tu na ndio demokrasia ilivyo 🐒
CCM haijawahi kuogopa uchaguzi.hata ukisema uchaguzi upo kesho bado CCM itashinda na kupita kwa kishindo.Acheni kuchezea uchaguzi.Mnajifanya wakubwa alafu mnaogopa uchaguzi.