ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Alijuaje kama wanakuja kufanya uwakili??Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
HakunaKatika orodha ya mawakili wa Lissu,nani anatokea Kenya?
Kwa hiyo huyo Ngumbaru ni kaongo katukuka!Hakuna
Unamuonaje kwanza kichwa mviringo!!?? Atakuwa na akili?Kwa hiyo huyo Ngumbaru ni kaongo katukuka!
Kama amefanya makusudi kujibu ujingaujinga,basi tutarajie atakuja kutubu siku za mbeleni.Unamuonaje kwanza kichwa mviringo!!?? Atakuwa na akili?
InsubordinationBora wanyamaze kimya, rais kajibu na waziri anakuja kujibu, hii imekaaje?
Ni Mshauri wa Simba Guvu Moya pale Msimbazi πHuyu si msomi wa sheria na mshauri wa Rais upande wa sheria? ukiwa mwana siasa ndiyo unakuwa mpumbavu na mpotoshaji? ndiyo maana nchi haijawahi kushinda nje kwenye kesi sababu ya kuwa na wasomi wapumbavu jamii ya huyu mzee
Hapana.Ni yeye mwenyewe SSH aliwapa kazi ya kujibu,kutetea na kuweka mambo sawa.Mambo sawa yenyewe ndiyo hayo sasa.Insubordination
Kabisa mkuu.Insubordination
Leo hii anatetea upuuzi na si Simba.Ni Mshauri wa Simba Guvu Moya pale Msimbazi π
Labda hivyoNi Mshauri wa Simba Guvu Moya pale Msimbazi π
Tangu amuuze Okwi nilichoka kabisa ππLeo hii anatetea upuuzi na si Simba.
Bora ya kumuuza Okwi club ilipata franga.Sasa huo uongo wa leo umekaaje?Tangu amuuze Okwi nilichoka kabisa ππ
Ukiona hivyo ujue hana akili kabisaKwa ni i wqziri wa sheria anajibu suala la kisheria kqa kusema "kwa uelewa wangu...".
Na kama hawana leseni ya kumtetea Tundu Lissu, kwa nin8 nuwazuie kuingia nchibi, kwq nini msiwaachie waingie nchini halafu muwakataze kumtetea Tundu Lissu?
Wapi kina Karua wamesema wanakuja kumtetea Tundu Lissu?
Are our ministers this dumb?
Huyo ni chawa anasema asichokiaminiWaziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.
Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.
Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.
"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.
CCM walisema eti huyu ni Mwanasheria?Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Wewe ni kiaziUpuuzi tupu.
1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.
Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?
Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.
HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.
Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners.