Ahaaa, ukizidiwa hoja boss usitafute sababu. Id nyingi? Zitanisaidia nini?
Nakaa kimya.Kuna ushindani wa hoja hapa mpaka iwe nimezidiwa?
Nakaa kimya.
Kigogo ni mpuuzi sana
Leo sikumuona hata yule mzee wa kutembeza bakora jimboni kwao
Vipi? Oktoba 2025 utajaribu tena?Uamuzi sahihi.
Vipi? Oktoba 2025 utajaribu tena?
?????Umevunja ukimya tena igunduge!
??? SikuelewiUmevunja ukimya tena igunduge!
Hakika kila mtu ajiangalie mwenyeweMkuu kila anajijua yupo katika kundi lipi.
Atakuwa kama kina sisi kajilockdown.
Haya ya kujimwambafy kumsubiria jiwe hayalipi.
Ikumbukwe kila mtu na lwake kuhusiana na gonjwa hili ni sera rasmi ya awamu ya 5.
Hakika kila mtu ajiangalie mwenyewe
AKwa hyo unataka kusema mpango ameshakufa ILA analeta ubishi[emoji19][emoji19]
Itoshe tu kusema kuwa paragraph ya mwisho ulitabiri kifo cha mwendazakeHawa watu walikuwa kwenye nafasi za maamuzi. Siyo average citizens-walikuwa na dhamana ya nafasi kubwa! wangeweza kushape response ya taifa letu kwenye hili janga.
Huyu Mh. mara nyingi ameonekana hata hana barakoa! Leo tunaletewa nonsense eti kifo ni mpango wa Mungu! kuna kifo cha kawaida ambacho wote tunakisubiri. Lakini kuna vifo vya uzembe na kutojali. Kinachoendelea hapa kwetu ni vifo vinavyochangiwa na kutojali na uzembe. Viongozi wakubwa kama hawa wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.
Namuombea afike huko Mbinguni akutane na Mungu amuulize alifanya nini kwa nafasi yake kuwakinga raia wenzake
Kataa kubali, lakini DR Philip Mpango bado hajatengamaa kiafya. Yale mamitungi ya gesi aliyowwkewa kumponya hayajamuacha salama. Yamemwongezea udhaifu.Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na ninafanya mazoezi ya kifua, wanaonizushia kifo niliwaombea msamaha kwa Yesu wakati wa sala ya jioni jana
Mheshimiwa Rais, Mungu akubariki na akupe Neema ya ujasiri zaidi katika kuliongoza Taifa letu katika wimbi hili, naungana na wewe na familia katika maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu Balozi kijazi''. - Mwisho wa nukuu
Rais Magufuli amewaonya "walioniua Mpango" huko tweeter.
My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.