Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Huyu haaminiki hayo itakuwa kayatuingia hapohapo kwani nani kathibitisha hiyo msg kweli imetoka kwa Mpango?
Kabisa,maana hakuna aliyethibitisha kuwa hicho alichosoma ni sms toka kwa mpango, na huyo jamaa sio mkweli.
 
Acha ufala wewe. Nani kaagiza flani afe?
 
Amuombe Mungu zaidi... Sijui kwanini kaongea.
 
Badala ya kurushiana maneno muda huu ingependeza kuona Wizara ya Afya inafanya nini kuhusu hizi changamoto za upumuaji ambazo according to them sio Corona (sasa ni nini hizo) yaani ni kama hii nchi haina Taasisi ya Afya hence kupelekea uzushi na maneno huenda yasiyo ya kweli kutapakaa..., Sababu ni kuwa Taasisi husika ya kuweza kuhabarisha watu na mwenendo wa Afya nchini ni kama ipo likizo
 
Corona ipo au haipo? Nafikiri ujumbe wa waziri umeelezea yote na JBL kausoma vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…