Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Karudie ulichokisema mwanzo alafu uje tena..Ni Dr.Mpango mwenyewe ndio amesema alikuwa akitumia mtungi wa gesi kwa wiki mbili kabla hajahamishiwa hospitali. Sasa chuki inatoka wapi hapo? Kuna ubaya gani kila kaya kupewa mtungi wa oksijen?
Kuingia kwenye nini?Hii imekaa sawa? Inaingia vipi?
Mbonaeo hatukumuona hapa ofisini Mtumba
Tehe tehe tehe! You're just a rotten fool!Makalio yako
Issue sio mtungi Bali mapafu. Shangazi yangu alipigana na huo ugonjwa wiki 2 mpaka Madaktari wakaihakikishia familia kuwa ameshaushinda ugonjwa lakini Mambo yalibadika ghafla akafariki.
Walichokuja kusema tena wale wale Madaktari ni kuwa mapafu yalikuwa yameathirika Sana. Ugonjwa huu ni mbaya Sana.
Wewe jamaa naona unairudia rudia hii dhana yako.Onesha alievaa barakoa akapona korona
Wewe ndio zuzu..... Nini tafsiri ya kutoka na mtungi wa gesi nyumbani? Mbona unatudharau na kutukebei watanzania?Kwani ni lazima kufanya press coference? Jamaa bado anaumwa na kalazimishwa kuongea na wanahabari. Na hakusema kama kaugua corona. Watanzania nani katuroga? Tumekua kama mazuzu.
Kuna watanzania na WatanzaniaTena madaktari walianza kumtibu akiwa nyumbani kwake, ni watanzania wangapi wanafuatwa na madaktari nyumbani?
SureKuna watanzania na Watanzania
Hahahahaaaa....Jamaaani nimecheka asubuhi asubuhi..!!Makalio yako
Nioneshe alivaaa barakoa akawasalama juu ya maambukizi ya korona. Nitajie kote duniani wapi walikuwa salaama dhidi ya maambukizi ya korona kwa kuvaa barakoaWewe jamaa naona unairudia rudia hii dhana yako.
Nani kakwambia kuwa BARAKOA ni dawa hadi iponyeshe CORONA!!??
Asiee tuna kazi sana, kama wataalam kama hao wameshindwa kujikinga hivyo, tutegemee hawa raia humu kwenye dala dala inakuwaje?Ajabu na hao wawili mmoja ni mkurugenzi wa hiyo hospitali ya Benjamin Mkapa?