Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

..Ni Dr.Mpango mwenyewe ndio amesema alikuwa akitumia mtungi wa gesi kwa wiki mbili kabla hajahamishiwa hospitali. Sasa chuki inatoka wapi hapo? Kuna ubaya gani kila kaya kupewa mtungi wa oksijen?
Karudie ulichokisema mwanzo alafu uje tena
 
Issue sio mtungi Bali mapafu. Shangazi yangu alipigana na huo ugonjwa wiki 2 mpaka Madaktari wakaihakikishia familia kuwa ameshaushinda ugonjwa lakini Mambo yalibadika ghafla akafariki.

Walichokuja kusema tena wale wale Madaktari ni kuwa mapafu yalikuwa yameathirika Sana. Ugonjwa huu ni mbaya Sana.

Pole sana
 
Kwani ni lazima kufanya press coference? Jamaa bado anaumwa na kalazimishwa kuongea na wanahabari. Na hakusema kama kaugua corona. Watanzania nani katuroga? Tumekua kama mazuzu.
Wewe ndio zuzu..... Nini tafsiri ya kutoka na mtungi wa gesi nyumbani? Mbona unatudharau na kutukebei watanzania?


Mkuu jikaze, wakijifunguaga maumivu yanakuwaga hivyo, tafuna pilipili maumivu yapungue
 
Mpango hukutakiwa kufanya press conference na waandishi wa habari. Unataka ku mprove wrong Kigogo? Haya si mashindano. Video yako inasikitisha sana.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa naona unairudia rudia hii dhana yako.

Nani kakwambia kuwa BARAKOA ni dawa hadi iponyeshe CORONA!!??
Nioneshe alivaaa barakoa akawasalama juu ya maambukizi ya korona. Nitajie kote duniani wapi walikuwa salaama dhidi ya maambukizi ya korona kwa kuvaa barakoa
 
Ugua pole mkuu.
Sisi huku Tunduru tunakuonea wivu kwa huduma zilizotukuka.
Tunamuomba mungu awepo mgonjwa mmoja Kama ilivyo wiki hii maana tuna mtungi mmoja wa oksijeni.maana wakija wengine huyu daktari wetu wa matemanga ambaye amekumbana na changamoto za kupumua tunaweza kupoteza kwa kugombania haka kamtungi!
Kwetu hata spirit chumba sindano hakuna useme dawa za malaria.
 
Ajabu na hao wawili mmoja ni mkurugenzi wa hiyo hospitali ya Benjamin Mkapa?
Asiee tuna kazi sana, kama wataalam kama hao wameshindwa kujikinga hivyo, tutegemee hawa raia humu kwenye dala dala inakuwaje?
 
Back
Top Bottom